Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Mkuu hapo kwa mwenyekiti wangu wa CHADEMA Tabora mjini kamanda Mbarouk hujakosea kwani namkubali sana huyu mpiganaji wangu.
 
twende kazi,hata kama safu ibadilishe lakini twendeni kaw sura kama hii belive or not 2015 magogoni panatuhusu.
 
..hiyo list imetulia sana,dr wa ukwel(SLAA) inabidi acheze kama kiungo "awe-anapanda na kushuka"...
 
Naona mmempiga chini Prof Safari.,:clap2::clap2:
 
Kama mkiti Mbowe alivyosema mwaka wa 2013 uwe wa kujipambanua kwa wananchi. The list is super and the operation should continue non stop. Wananchi waelimishwe kujiandikisha, kupiga kura na jinsi ya kuzilinda. Wakati ni sasa nchi hii ni kubwa sana na miundo mbinu sio mizuri kwa hiyo ili ujumbe usambae kwa watu wote ni lazima harakati zianze mapema. Makamanda tupo nyuma yenu 2015 CHADEMA iongoze nchi.
 
Kila kukicha kuelekea 2015 muda unazidi kupungua na kazi inaonekana kubwa kwa chama chetu.

Leo naomba nitoe ushauri jinsi ya kupanga vikosi vya M4C kuanzia mwaka huu. Mpangilio wangu unjikita katika kukubalika kwa mtu, eneo analotoka, ngazi ya harakati zake na nazigawa katika kanda kama ifuatavyo:-

Kanda ya Ziwa - Heche
Wenje
Mawazo
Rwakatare
Kasurumbai
Yusufu Fungameza
Mabere Marando
V. Nyerere
Wanaungana na makanda wengine toka kanda hiyo

Kanda ya Nyanda za juu Kusini - Sugu
Mzee wa Upako
Msigwa
C. Abwao
Silinde
Mbogolo
Nyakalungu

Kanda ya Kasikazini - Lema
Mwigamba
Rose Kamili
O. Millya
Golugwa
Nassari
Gekul
A. Bananga

Kanda ya mashariki - J J Myika
H. Mdee
Raya Ibrahimu
M. Abama
S. Issam Muhamad
Kilewo
Sanane
Na baadhi ya makamanda wa makao makuu

Kanda ya Kati B. Kigaila
T. Lissu
C. M. Lissu
Josephat Isango
Dr Kitila Mkumbo
Mbaruok (m/kiti Tabora)

Kanda zote zinaweza zitaongeza nguvu kwa kuwatumia makamanda wa kule kule walipo.
Unaruhusiwa kuongeza jina unaloona linafaa kwenye kanda yoyote au kuongeza ushauri.
Mikutano ipigwe kwa wakati mmoja kuepuka kuhujumiwa na magamba, wataua kila mkoa kwa kanda zote?
Mbowe, Dr Slaa na Zitto waende popote kuongeza nguvu inapohitajika na watumie helikopita kufika maeneo kwa wakati.
Ccm haina vikosi kama hivi popote nchi hii. Tutumie umaarufu wa wabunge wetu kujenga chama chetu.

TANZANIA NCHI YETU,CHADEMA CHAMA CHETU.

Naomba kuwasilisha!
wabagu wadini utawaona kwa kaulizao pr safari na zito kabwe hawapo si watu wamwezi
 
Kweli watu mmeichoka CCM, mpaka mnapanga strategy kali kama hii.
 
Hujui kuna kanda ya JF aka wakuu wa mitandao, tuko kwa ajili ya mapropAgandaz kama nyie watunga stori

Nashukuru kamanda kwa kunifahamisha kumbe hawa ni mabingwa wa propaganda JF.
 
Hujui kuna kanda ya JF aka wakuu wa mitandao, tuko kwa ajili ya mapropAgandaz kama nyie watunga stori

Umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa! Kanda maalumu ya JF inahitaji kutendewa haki pia, hatuwezi kupeleka vikosi vyote field huku kanda maalumu ikishambuliwa kwa upotoshi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nashukuru kamanda kwa kunifahamisha kumbe hawa ni mabingwa wa propaganda JF.

Ulishatusikia tunasema flani kasema hivi bila ushahidi? Muulize Lusinde, au ulishasikia tukikwambia tuna CD ambayo hatuipate kama sio Boss wako Nchemba ndo anaziweza hizo. Umeshasikia tukikwambia kuna masalia na wasijulikane sio Nape anasema anavua gamba anaishia kujivalisha mwenyewe. Think b4 talk kilaza wewe
 
Umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa! Kanda maalumu ya JF inahitaji kutendewa haki pia, hatuwezi kupeleka vikosi vyote field huku kanda maalumu ikishambuliwa kwa upotoshi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Achana na mbumbumbu huyu analeta uozo alafu anataka tumjibu kwa hoja. Nimempa hiyo ajigalagaze nayo
 
Kila kukicha kuelekea 2015 muda unazidi kupungua na kazi inaonekana kubwa kwa chama chetu.

Leo naomba nitoe ushauri jinsi ya kupanga vikosi vya M4C kuanzia mwaka huu. Mpangilio wangu unjikita katika kukubalika kwa mtu, eneo analotoka, ngazi ya harakati zake na nazigawa katika kanda kama ifuatavyo:-

Kanda ya Ziwa - Heche
Wenje
Mawazo
Rwakatare
Kasurumbai
Yusufu Fungameza
Mabere Marando
V. Nyerere
Wanaungana na makanda wengine toka kanda hiyo

Kanda ya Nyanda za juu Kusini - Sugu
Mzee wa Upako
Msigwa
C. Abwao
Silinde
Mbogolo
Nyakalungu

Kanda ya Kasikazini - Lema
Mwigamba
Rose Kamili
O. Millya
Golugwa
Nassari
Gekul
A. Bananga

Kanda ya mashariki - J J Myika
H. Mdee
Raya Ibrahimu
M. Abama
S. Issam Muhamad
Kilewo
Sanane
Na baadhi ya makamanda wa makao makuu

Kanda ya Kati B. Kigaila
T. Lissu
C. M. Lissu
Josephat Isango
Dr Kitila Mkumbo
Mbaruok (m/kiti Tabora)

Kanda zote zinaweza zitaongeza nguvu kwa kuwatumia makamanda wa kule kule walipo.
Unaruhusiwa kuongeza jina unaloona linafaa kwenye kanda yoyote au kuongeza ushauri.
Mikutano ipigwe kwa wakati mmoja kuepuka kuhujumiwa na magamba, wataua kila mkoa kwa kanda zote?
Mbowe, Dr Slaa na Zitto waende popote kuongeza nguvu inapohitajika na watumie helikopita kufika maeneo kwa wakati.
Ccm haina vikosi kama hivi popote nchi hii. Tutumie umaarufu wa wabunge wetu kujenga chama chetu.

TANZANIA NCHI YETU,CHADEMA CHAMA CHETU.

Naomba kuwasilisha!
hiyo uliyopanga ndio First Eleven ya Tanzania,Mboe,Slaa na Zito ni makocha
 
Ulishatusikia tunasema flani kasema hivi bila ushahidi? Muulize Lusinde, au ulishasikia tukikwambia tuna CD ambayo hatuipate kama sio Boss wako Nchemba ndo anaziweza hizo. Umeshasikia tukikwambia kuna masalia na wasijulikane sio Nape anasema anavua gamba anaishia kujivalisha mwenyewe. Think b4 talk kilaza wewe
nitafanya makosa makubwa kama sintokupongeza mkuu kwa majibu yako,
 
Huyo Mzee wa Upako A.k.a homa ya jiji ni noma , Kandoro anajuta kuhamishiwa Mbeya , huyo hata peke yake anaweza kuvuruga Mbeya yote , ana mapafu ya Mbwa !
 
Back
Top Bottom