Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Vikosi M4C vikipangwa hivi CCM watajuta!!!

Mzee wa upako , huyo jamaa namkubali sana

jamani.mzee wa upako dakika 5 tu huwa zinatosha kuwaliza watu machozi,.anenalo ni kisu kikali kwa magamba anafaa'.atumike kitaifa.cdm chama chetu!.tanzania nch yetu!
 
Mbona mnakuwa wabaguzi mbona hawa makamanda wanaokesha JF mbona hawamo Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi,

cc chama, Mingoi,

JF pia ni uwanja wa mapambano kwa hiyo waliojikita JF wanaachwa huko huko kuwakata kilimilimi. Profesa ni mtu wa makao makuu huyu atakuwa kwenye chopa kwa ajili ya kufunga jeneza na kupiga misumari ya mwisho. Haya na wewe taja list ya magamba bwahahahahahah CC: Molemo,Crashwise
 
Last edited by a moderator:
Unazungumzia nini?
Kila kukicha kuelekea 2015 muda unazidi kupungua na kazi inaonekana kubwa kwa chama chetu.

Leo naomba nitoe ushauri jinsi ya kupanga vikosi vya M4C kuanzia mwaka huu. Mpangilio wangu unjikita katika kukubalika kwa mtu, eneo analotoka, ngazi ya harakati zake na nazigawa katika kanda kama ifuatavyo:-

Kanda ya Ziwa - Heche
Wenje
Mawazo
Rwakatare
Kasurumbai
Yusufu Fungameza
Mabere Marando
V. Nyerere
Wanaungana na makanda wengine toka kanda hiyo

Kanda ya Nyanda za juu Kusini - Sugu
Mzee wa Upako
Msigwa
C. Abwao
Silinde
Mbogolo
Nyakalungu

Kanda ya Kasikazini - Lema
Mwigamba
Rose Kamili
O. Millya
Golugwa
Nassari
Gekul
A. Bananga

Kanda ya mashariki - J J Myika
H. Mdee
Raya Ibrahimu
M. Abama
S. Issam Muhamad
Kilewo
Sanane
Na baadhi ya makamanda wa makao makuu

Kanda ya Kati B. Kigaila
T. Lissu
C. M. Lissu
Josephat Isango
Dr Kitila Mkumbo
Mbaruok (m/kiti Tabora)

Kanda zote zinaweza zitaongeza nguvu kwa kuwatumia makamanda wa kule kule walipo.
Unaruhusiwa kuongeza jina unaloona linafaa kwenye kanda yoyote au kuongeza ushauri.
Mikutano ipigwe kwa wakati mmoja kuepuka kuhujumiwa na magamba, wataua kila mkoa kwa kanda zote?
Mbowe, Dr Slaa na Zitto waende popote kuongeza nguvu inapohitajika na watumie helikopita kufika maeneo kwa wakati.
Ccm haina vikosi kama hivi popote nchi hii. Tutumie umaarufu wa wabunge wetu kujenga chama chetu.

TANZANIA NCHI YETU,CHADEMA CHAMA CHETU.

Naomba kuwasilisha!
 
Umemsahau Gwajima Kanda ya Mashariki Mzee wa Ufufuo na Uzima (Kuwarudisha misukule akina Rit na Tunte)
 
Rafiki yangu MPK, Unasema "Tutumie umaarufu wa wabunge wetu kujenga chama chetu." Unaongelea top-down approach. Nina mashaka na approach hiyo. Kwa ufahamu wangu kazi ya "kujenga chama" inahusisha kumsimamisha jukwaani mtu maarufu akahutubia. But that should come in the evening. The mornings and afternoons are for the local people to handle. And the evening is only 5%. Njia nzuri zaidi ya "kujenga chama" ni ile inayohusisha "local resource mobilisation." Hii ni bottom-up approach ambayo inachukua 95% ya mchakato wa ujenzi wa chama. By the way, ile kamati yetu ya M4C unayoiongoza kama mwenyekiti imefikia wapi? Good day!
 
Makamanda kama Lema, Lissu na Mnyika waungane na makamanda kama Slaa, Mbowe, Zitto na Pr.Safari coz wanakubalika kila kona ya tz sio bara 2 mpk pwani kwan watanzania tumeona harakati zao sio bungen tu hata nje ya bunge..M4C Mpk tupate uhuru wa kweli.
 
Mkuu,
Mbona umesahau kikosi cha maangamizi kwa kand ya KUSINI ?
Tupia majembe unayoona yafaa hapo .
Kwani haki zetu huwa tunazitambua cheki GESI NI GUMZO NCHI NZIMA KWA SASA NA ISHU YA KOROSHO KULE TANDAHIMBA NI WAZEE WA KAZI
 
Rafiki yangu MPK, Unasema "Tutumie umaarufu wa wabunge wetu kujenga chama chetu." Unaongelea top-down approach. Nina mashaka na approach hiyo. Kwa ufahamu wangu kazi ya "kujenga chama" inahusisha kumsimamisha jukwaani mtu maarufu akahutubia. But that should come in the evening. The mornings and afternoons are for the local people to handle. And the evening is only 5%. Njia nzuri zaidi ya "kujenga chama" ni ile inayohusisha "local resource mobilisation." Hii ni bottom-up approach ambayo inachukua 95% ya mchakato wa ujenzi wa chama. By the way, ile kamati yetu ya M4C unayoiongoza kama mwenyekiti imefikia wapi? Good day!

Uko nchi hii kaka ? Hizo hatua unazosema CDM ilivuka Long long time ago , sasa hivi ndiyo tuko kwenye hiyo hatua ya Mwisho kabisa ya jukwaani tu .
 
ila sijaona kanda ya magharibi mkuu...mikoa ya kigoma, rukwa na katavi...........
 
Kamanda Taswira upo wapi tuone mchango wako kwenye hii list ya maangamizi kulekea 2015.
 
Last edited by a moderator:
mnajuaje kama makamanda wa hapa Jf ndo hao waliotajwa?

Hakuna hata mmoja nilikusahau mkuu Mungi naona wewe pia haumo kukesha kote JF hata mchango haujulikani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nchemba, natamani nije kugombea kwenye hilo jimbo hapo 2015, tuone kama utaendelea kubwabwaja hovyo hovyo humu!
Mwanaume aliyekamilika hatumii neno "natamani"
Chama
Gongo la mboto DSM


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
huyu mwenye red ni nani? yule anaekataza waumini wake kujiandikisha kupiga kura?
Kanda ya Nyanda za juu Kusini - Sugu
Mzee wa Upako
Msigwa
C. Abwao
Silinde
Mbogolo
Nyakalungu
 
Back
Top Bottom