MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Sawa hayo ni mawazo yako, Kanda ya magharibi vipi vikosi sijaviona au utakuja wewe?
nyakarungu!!!!! huyu naye ni mwana PM saba aisee msimpe tena nafasi coment zake hata kwenye wall yake ya FB sio za kujenga chama hata kidogo
Wewe jipe hope tu,M4C itakuja kukuliza siku moja!Google, M4C ni movement 4 cheating
Migulu nakushauri usipost k2 humu maana tutamwaga mauchafu yako mpaka utakimbia JF,humuoni mwenzako gamba NEPI kama mpole siku hizi?wewe endelea tu.Google, M4C ni movement 4 cheating
M4C ndo nn?
Ungonella,Chadema wangeweza fanikiwa tatizo wameanza kuingia tamaa ya madaraka, wangezunguka nchi nzima wakiwa pamoja,nakwambia wangechukua dolar 2015,sasahivi wamekalia kutoa matamko na ukaa ofisini,m4c haijawa jumuisha kwa mtazamo mpana wa taifa letu!
mkuu cdm wamelewa sifa,kwa jinsi walivyojaaliwa uwezo wa kushawishi wananchi pesa kwao lisingekuwa tatizo,mbona kwenye hiyo mikutano michache wanayofanya wanakusanya pesa? Chukulia kwa mfano wangejipanga vizuri bila kuangalia maslahi binafsi washambulia dodoma yote,katavi, singida na kwingine wangeshindwa? Sasa hivi kilichopo kila mmoja anaangalia kugombea ubunge na urais 2015. Sidhani kama kina mnyika wangeanza hivo zamani wangeshinda ubunge. Chukulia mfano sasa hivi kila kijana ana malengo ya kugombea ubunge 2015 tena wengine hata hayo majimbo hawajawahi peleka itikadi ya chama. Vijana waanze saa hizi kueneza chama vijijini.Ungonella,
usisahau kuna gharama zitakazotumika zitakuwa kubwa sana bila sabbu, we umadhani kwanini ccm wameishia arusha? Chadema wanajitahidi sana mikutano sio kusema tu, ni gharama pia