Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
nitafanya makosa makubwa kama sintokupongeza mkuu kwa majibu yako,
Karibu, pamoja sana Mkuu
nitafanya makosa makubwa kama sintokupongeza mkuu kwa majibu yako,
Mbona mnakuwa wabaguzi mbona hawa makamanda wanaokesha JF mbona hawamo Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi,
cc chama, Mingoi,
Mbona mnakuwa wabaguzi mbona hawa makamanda wanaokesha JF mbona hawamo Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi,
cc chama, Mingoi,
Tena huu ni ubaguzi usio na aibu. makamanda wanakesha jf wakikipigia chepuo chama, matokeo yake ndiyo haya.
"Uzuri wa makamanda hawakatishwi tamaa na watu kama nyie.....hakuna kamanda asiyejulikana na Chama watafika hapo mnapotaka kuwaona, tunawatambua na tunaendelea kuwaimarisha katika Chama"
mary mary
Msemaji wao JF.
Mkuu, kumradh, hiv na wewe umeingia 2013??
Huyu ni masalia pia nimewahi mshtukia kabla ya deal yao haijabuma post zake fb zinatia kichefuchefu kwa kweli amewahi nieleza mambo mengi ya ulalamishi haswa kuhusu uchaguzi wa bavicha kabla ya dhambi zao kuanikwa,ni kirusi huyu Nyakarungu!!!nyakarungu!!!!! huyu naye ni mwana PM saba aisee msimpe tena nafasi coment zake hata kwenye wall yake ya FB sio za kujenga chama hata kidogo
Sioni ajabu kuwepo kwa mnyukano ndani ya chama kwa sababu kila mmoja kwa sasa ni kiongozi wa chama.
Wewe tayari umeisha jipachia kama ni kiongozi wa chadema.
Hongera kwa kuwa msemaji wao JF.
Ahaaa wajua maana ya Kamanda? tafakari jipe majibu!!! hatubaki nyuma kama askari nyie, magamba.
Shukrani kwa kunipa hongera, na wewe asante kuwa mlinzi wa Chadema unafuatilia wanaokesha JF unaumia hujawaona kwa list ya kutengeneza. lol
M4C ndo nn?
Wow, Hata 'masalia' wako kwenye hiki kikosi cha M4C
we mmakonde nini?