Vikongwe wa JF: bonanza day

Nitalitoa wapi kibogoyo mie?

Hivi una dentist yeyote unayemfahamu aniazime walau meno ya plastic?
mweeeeeehhh................
asa ndo ukome manake ayo ya plastic hayana makali ujue.
jino kali lile la kuzaliwa nalo haya mengine yote mapambo tu ata liwe la dhahabu.
ukiona umetupwa mkono kubali yaishe.
mie siku hizi najisemeaga "bora yesheeee"
 
Hivi kwani sura si sehemu ya mwili?


Umeanza lini kuwa mgumu wa kuelewa somo watu8?

Siamini kama unaweza kuniangusha.....May be ndiyo mbinu zenu za kichokozi za dotcom!

Enzi zetu hata mtu kundondosha kitu mbele yako akainama kukiokota huku kichwa kimeelekezwa kibra ilitosha kuanzisha ligi!!
 
Last edited by a moderator:
mweeeeeehhh................
asa ndo ukome manake ayo ya plastic hayana makali ujue.
jino kali lile la kuzaliwa nalo haya mengine yote mapambo tu ata liwe la dhahabu.
ukiona umetupwa mkono kubali yaishe.
mie siku hizi najisemeaga "bora yesheeee"

Nimekubali yaishe mdogo wangu.....

Matumaini yangu ya msaada naona yametupiliwa mbali...

What else can I do?
 
Namuona Asprin yeye ancheza gologolo maana alivyotanua miguu na mikono tabu tupu hahahah
 
Last edited by a moderator:
Nimekubali yaishe mdogo wangu.....

Matumaini yangu ya msaada naona yametupiliwa mbali...

What else can I do?
wakati ukuta babu, huwez kushindana nao.
wewe nyumba ya udongo hustahimili vishindo.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…