Nimekuchek tayari, si unitumie kwenye WhatsApp?Mkuu nimeona hiyo video , ni pm email yako ili kama vp nikutumie logo ya kuweka, next week unitengenezee moja ya kuanzia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio msiba mbichi mkuu! Ni miaka 7 sasa tangu nimpoteze mzee ila hua najifariji lulitunza kaburi lake...mnafanya bei gani kwani anniversary ni Juni!Ndio naweka kwenye tiles, unahitaji hivi karibuni, pole kwa msiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima iwe timu ya mpira, ni picha yoyote Ile unayotaka tukuwekee,picha ya familia, mtoto, mtu uumpendaye hata kama unataka maneno pekee ni sawa inawezekana.Lazima iwe ya timu, vipi ikiwa picha ya kitu kingine kama mtoto n. K
Kwa tiles tunafanya 30,000Hapana sio msiba mbichi mkuu! Ni miaka 7 sasa tangu nimpoteze mzee ila hua najifariji lulitunza kaburi lake...mnafanya bei gani kwani anniversary ni Juni!
Nitakuunga mkono mkuuSio lazima iwe timu ya mpira, ni picha yoyote Ile unayotaka tukuwekee,picha ya familia, mtoto, mtu uumpendaye hata kama unataka maneno pekee ni sawa inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itapatikana kama ukihitajiKuna chenye picha ya jiwe?
hadi uwe na kibali maalumMimi natafuta kiki kwa pikipiki nataka nifanye mass order ya vikombe 500 vyenye picha tofauti za JPM. Nataka nivigawe bure barabarani maeneo ya Kawe. Utanifanyia bei gani?
That was like my next question.hadi uwe na kibali maalum