Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

Watanzania siku hiz uzalendo "Umetujaa" sana. Sasa wazungu nao wanaobeba nguo za kimasai ama vinyago na kupeleka ulaya hawana vya kwao?
Hao wanafanya utalii na wananunua hivyo kama kumbukumbu.tukirudi kwenye biashara unangalia wateja wanataka nini.
 
Utumwa huu wa kuthamini cha wasiokujua kuliko chako unawatesa sana wa Africa, Tanzania hapa hakuna mwananchi asiye na timu iwe simba au yanga, nafikiri ungeweka tu picha ya simba au yanga au mlima kilimanjaro ungepata order nyingi ila ubunifu ndio tatizo la vijana wengi Tanzania
Hata mim naona ni utumwa kuniambia nishabikie yanga au simba nikaiacha Lipuli yangu, huko yanga na simba hakuna abayenifahamu
 
8ff6888c12551ec7_nights.jpg

nahitaji changu iwekwe hii pic
 
Back
Top Bottom