Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

Man U fans
IMG_20190312_183728_651.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi natafuta kiki kwa pikipiki nataka nifanye mass order ya vikombe 500 vyenye picha tofauti za JPM. Nataka nivigawe bure barabarani maeneo ya Kawe. Utanifanyia bei gani?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom