Vikombe vyenye nembo ya timu ya mpira au picha unayoipenda

delp307

Senior Member
Oct 10, 2017
160
114
Kama ni shabiki mzuri. Unaweza kujipatia vikombe ambavyo vina logo ya timu ya mpira unayoipenda. Tuambia jina la timu unayoipenda kisha tukutengenezee kikombe.

Vile vile unaweza kumpa rafiki yako zawadi ya kikombe yenye picha yake au ujumbe unaotaka kumwambia.

Shabikia timu yako kiujanja zaidi

Gharama za kuprint kikombe ni TSH 12000.

Tunapatikana mwananyamala komakoma,

Au tuandikie WhatsApp 0676577548


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • chelsea%20fc.jpeg
    17.6 KB · Views: 54
mnatengeneza na vile vya magic cup, ambavyo wakati wa kuweka kinywaji cha moto ndio kinaonesha picha?
 
Mkuu mnaweka picha kwenye Tiles! Nataka niweke Picha kwenye msalaba/kaburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…