Vikao vinaendelea ikulu muda huu

Status
Not open for further replies.
Taifa wala halipiti kwenye wakati mgumu wowote,sisiem ndo wanapita kwenye huo wakati mgumu mkuu
 

Hakuna haja ya vikao Ikulu, CHADEMA si wamoja tena and technically the party has dissolved. Maana sasa tunasikia ya CHADEMA Asilia vs CHADEMA Lowassa na October ipo mlangoni. Shughuli imekwisha hii tayari!!!
 
Mleta uzi habari za ikulu umezipata wapi? Umesema kikao kinaendelea bado, inakuwaje wewe uje na azimio la kikao ilihali hakijaisha? Jifunze kudanganya na kwa taarifa yako na wengine wa aina yako ni kuwa ulichopost hapa ni kinyume cha sheria kwani umeingilia kazi isiyokuhusu (trace passing) na adhabu yake ipo kisheria. Sidhani kama utabaki salama kwa hili kwani unachochea vurugu na uvunjivu wa amani. Andaa nauli ya kutokomea kabla hawajakutia mikononi.
 
Kazi IPO ngoja nitazame kadi yangu nilipoiweka isije ikaibwaaa
 
Hizi ni propoganda za watu wa ccm kwani wanajaribu kuwadanganya watu mambo yasiyo na msingi
 
Ee Mungu tuepushe na pepo linalotunyonya liitwalo CCM....Amen
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…