Copy to: Paloma, Lisa, Nivea, Zion Daughter, charminglady, Elizabeth Dominic, @FP, snowhite, gfsonwin, cacico, farkhina, ladyfurahia, Passion Lady, King'asti, MwanajamiiOne, MadameX, BADILI TABIA, Asnam, Kipipi, Binti.com, Mrembo by Nature, Preta, Blaki Womani, marejesho, Nyamayao, Angel Msoffe, Husninyo, AshaDii ...
that chest :love: :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:......
![]()
..
HorsePower, nimecheka mbaya, yaani alichosoma Madame B na kujifunza katika makala hii ni hiyo body ya huyo mwanaume hakuna kingine....
Ngoja niondoe hiyo picha niweke mwanaume kimbaumbau
Tazama katikati ya mgongo wake huo mfereji, uwiiiiiiiiiiiiiiiii!!! naogopa kumalizia, maana Mhhhhhhhh.................!!!!!!
eeeh!?:heh:
Madame B nakupa nafasi ya upendeleo, nikutafute saa ngapi?