Vijiti vinaweza kuwa feki?

Ananear

Member
Nov 18, 2020
56
25
Nina demu yeye ni single mother wa mtoto wa miaka miwili (kafunga mwez wa 10 ), huyu demu aliweka kijiti cha miaka mitatu baada ya wiki tatu tangu kujifungua, wiki lilopita kanambia anajiskia vibaya anahisi ana mimba, nikamwambia akapime kaenda jana kanirudishia majibu kwamba ana mimba.

Swali langu je mimba imetokeaje wakati expiring ya kijiti bado ili hali tangu ajifungue mwanae amefunga miaka miwili mwezi wa 10 au vipimo vimekosea?
 
Tungeomba kufahamu kama alipima ujauzito kabla ya kuweka vijiti, pia tufahamishe mlikutana baada ya muda gani toka kuweka hivyo vijiti.
Kijiti ameweka mwa2018 mwez 11 mi nmeanz mahusian mwez wa5 mwaka huu ye kadai ana mimb yenye wki mbl iv
 
Kwa swali lako inamaana kwamba hiyo ni aina ya mimba isiyotarajiwa si ndivyo? Kumpachika mwanamke mimba ya namna hii ni uzembe wa hali ya juu
 
Nina demu yeye ni single mother wa mtoto wa miaka miwili (kafunga mwez wa 10 ), huyu demu aliweka kijiti cha miaka mitatu baada ya wiki tatu tangu kujifungua, wiki lilopita kanambia anajiskia vibaya anahisi ana mimba, nikamwambia akapime kaenda jana kanirudishia majibu kwamba ana mimba.

Swali langu je mimba imetokeaje wakati expiring ya kijiti bado ili hali tangu ajifungue mwanae amefunga miaka miwili mwezi wa 10 au vipimo vimekosea?

Mwambie azae uone reaction yake,maana wanatabia ya kununua mkojo wa mjamzito na kwenda kuupima.
 
Una uhakika gani kama aliweka kijiti? Mwambie uende nae hospital kuthibitisha kama kweli ni mjamzito.
 
Uliwahi kuthibitisha kama kweli ana mimba?

Siku hizi mademu wana michezo sana ya kusingizia mimba ili wapate pesa.
 
Kuna mawili, either walikiweka vibaya au kimeisha muda wake..
 
Back
Top Bottom