youngd diCaprio
Member
- Jul 21, 2014
- 37
- 2
Una rambooo mi nna mua
Masantula
Una rambooo mi nna mua
I
would like to perpetuate the perpetuation which has been perpetuated by other perpetuators.
Aisee, naomba unifanunulie kuhusu huu msemo...bado sijaelewa alikuwa anamaanisha nini hapo...hawa vijana wa yamoto band...wametisha! NITASHUKURU SANA
Wametishaje wakati hata huo msemo tu umekushinda kuuelewa!!!!!
Kulikuwa na vijimisemo enzi zile nikivikumbuka, huwa vinanipa burudani. Vijimisemo kama ''Utabana ngenge - wakimaanisha utakoma! ,du kinaa - yaani hakuna shida, dole tupu - yaani powa tu!! Unakumbuka vimisemo vipi, hebu tupia hapa tukumbushane!!