Vijimisemo vya zamani

Vijimisemo vya zamani

Banzoka-big G, Nguna- Ugali, Bweche- Wali Bluu-elfu 10 Mpododo-makalio Roso, Dh(dingi Hanauwezo) Ndopa, Ndaba, Skuna, Chachacha Ndio Bajaji Miaka Hii Au Yebo,
 
Hahahaaah...! Hizi ndio zenyewe DH..
 
hapa naona mambo mpwitompwito, ila mimi sina mchecheto ngoja nijikate zangu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom