Vijimisemo vya zamani

Vijimisemo vya zamani

bambataa=makalio makubwa
bitoz nyangema=mtu alieulamba
pensi nyanya=bukta kubwa/pana
kapelo=kofia/cap
pasisnaa=kupendeza
 
Duukinaa, dangachee,dole tupu, hakuna noma,chekibobu,.
 
Nimetupia suruali mchelemchele, shati la bahama na chini nina mokasini.
 
' nenda Nenda'- ondoka
'basi haya'- yameisha
' mtoto wa geti' - siku hizi mshua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom