vijimambo vya vyoo vya master bedroom

Maji ya shida bana eeeh miamala 5-6 ndio choo kinaflashiwa

khaaaaaa!!!! bora kukuwekea choo cha shimo na hapo mtu akihaja pembeni tena atakuwa katumwa na kalumanzila looh
 
MKATA KIU hii ipo mimi nimeshawahi lishudia,ni mshikaji wangu na nilpomuuliza reason akasema ni sehemu ya mapenzi inachochea penzi kunoga.

loooh balaa hili sasa inamaana huyo mpenz wake penzi lake linachochewa na kuflash haja ya mumewe.....!!!! heheheheheheheeeee
 
kumbe ndo maana unakuta ofsi kubwa tu mivyoo michafuu na kuna wasomi
kumbe ni hawa waume za watu,wamezoea wake zao wawatawazishe,kama vip waje nao basi maofsni
 

hii mijanaume mnaiendekeza sana ndo maana inakunya haiflashi..... Kama mwanaume ni sawa na mtoto mbona hanyi kwenye chupi au suruwali au boxer..... Huyo mwanaume ni mchafu yena dizaini hizo ndo wale ambao viatu anaanza kuvulia sitting room...soksi dining.... shati jikoni ...suruali inavuliwa kwenye korido .... Vesti chumbani....

Wanawake mna kazi.......
 
na kama anakunya haflashi hata kuchamba hachambi huyo.....
 
Namwambia mwenyewe bila kuuma uma maneno lolz.. But I will do that in a lovely way kumtunzia heshima yake.

Akirudia tena .. Siku ingine namwita aje kushuhudia na kuondoa peke yake huo uchafu.

If the problem persist basi si bure kuna sharti la mganga hapo lolz.

Though I don't believe this.. Nafikiri nikuflash bila kuhakiki kama kila kitu kiko powa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanaume ukimwendekeza atakunyea kiganjani!
Dawa yao hawa - mchunguze sana kabla hajakuoa.Ndivyo nnlivyofanya miye.
 

hahahahahahaaaaaaaa hapo nilipoweka red colour umenichekesha saanaaaaaaa
 
Huyo ni mchafu mbaya hataki badilika
Mfano yule aliyelazwa mwezi yaani jamaa
karundika mikojo & mavi unadhani hapo
kuna Master

Lazima itakuwa ni jalala/septic tank
kwa harufu pia jamaa ana roho ngumu
Yeye nadhani akishusha mzigo makalihaoshi kbs
Najua vema ukiosha makalio cha kinakushindaje
 

Hah! Huu nao ndio mfumo nini?
 
maisha ya ndoa ni makubaliano yenu.kuna wake wengine hawa mind kabisa kusafisha choo,kama mume kachafua,atasafisha.ila ki ukweli mwanaume ufanye haja yako,ushindwe hata ku flush jamani?huo ni uvivu na uchafu.hata kama mke ana safisha basi wewe flash choo,baada ya kutumia.mwanamme ambae ni mvivu wa ku flush nina amini na boxer zake huwa chafu.mimi kwa upande wangu katika sehemu ambazo napenda ziwe safi ni choo na jiko.
 
Mmh, ni kumfundisha tu

Kidogo kidogo anaelewa, watu tumetoka kwenye background tofauti sana

Mume wa hivyo unamuachia choo cha bedroom anatumia mwenyewe. Wewe unatumia cha public. Akikuta puu yake imekaukia siku mbili, ukisafisha hatokaa achafue.

Kwani si tunaambiwa mwanaume kama mtoto? Mlelee lakini mfundishie in a hard way, atajifunza tu!
 
Huo ni uchafu na kumtafutia mwenzako sababu ya kutapika.lol!
Mababa wote wenye tabia hii ni wachafu na wanyanyasaji, kisa cha kumnyanyasa partner akione chumba kama kituo cha polisi, Huyo wakutosafisha mwezi, ndio ukute linakunywa pombe mh hilo kojo lake linavyonuka si balaa hii, wanajutaje wake zao!
 
Can this happen?.

inatokea sana tu, mi mwenyewe sijawahi kuimagine kitu km hicho lkn nilipoolewa nilikuta mr wng ana tabia hiyo, kusema kweli nilikuwa naboreka sana, mwanzoni nilikuwa nasafisha sisemi, lkn badae nikamwambia, ht hivyo akawa bado anajisahau... siku moja aliacha uchafu wake nilipoukuta nikamuita kutoka siting room alipokuwa amekaa nikamuomba aflash uchafu wake, alitahayari akaflash, kuanzia siku hiyo adabu tele..
 

Ungemshauri ampeleke hospitali akapime uwezo wa akili yake kwani binadamu wote ni vichaa ila anaezidiwa ndio anaonekana, huyu mumewe tayari amezidiwa amtibu mapema la sivyo kuna siku atakuta kimbi mezani sebuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…