Hapana hiyo sio haki kabisa uchafu wako ni wako na hakuna aliye na jukumu la kusafisha uchafu wako hata kama umeoa labda uwe mgonjwa mahututi ila uchafu hasa vyooni ni jukumu la kila mmoja kuhakikisha anaacha choo ikiwa safi ili mwingine atumei kwa amani,choo ni sehemu ya starehe sema wengi hatujui hilo sasa ukiacha uchafu wako starehe ya mwenzio itatoka wapi?nafikiri tunapaswa kufikiria watu wengine pindi tutumiapo vyoo hasa vya halaiki,tujiulize je ingekuwa ndio mimi nakuta uchafu chooni ningejisikiaje?tukifanya hivyo tutaepuka kufanya mambo ya ajabu.
Aisee nyumba zina issues, l would never imagine kitu kama hicho.
Wakati nakuwa nilifundishwa mchafu ni yule anayekaa na uchafu na wala sio anayeshika uchafu!
sijui kwanini my wee!hiyo story yako mi nimeiangalia kwa jicho lingne kabisaaaa!ni kweli wee ila skuhizi watu uzalendo hawana yaani kidogo tuu keshampigia shoste ake amsimulie hajui yule anayemwambia anaenda yasambaza maneno mtaa mzima.
MKATA KIU hata sifurahishi baraza mimi binafsi sijashuhudia live wenye ndoa wanaotegeana kuflash haja zao ila kwa habari hizi mbili nilizozisikia nikaona nishee na wana mmu japo lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Pia kama habari hizo hapo juu kama hao wadada niliowasikia watakuwa wamenidanganya na huyu dada wa ofisini kanidanganya basi.Ha ha ha,,, nahisi ni kufurahisha baraza haiwezekani.. Kuflush kunatumia nguvu gani zaidi ya button au kuvuta kamba...
Japokua wanaume tupo disorganised sometime but hii ya kuto flash Hakunaga
Mume wa hivyo unamuachia choo cha bedroom anatumia mwenyewe. Wewe unatumia cha public. Akikuta puu yake imekaukia siku mbili, ukisafisha hatokaa achafue.
Kwani si tunaambiwa mwanaume kama mtoto? Mlelee lakini mfundishie in a hard way, atajifunza tu!
sijui kwanini my wee!hiyo story yako mi nimeiangalia kwa jicho lingne kabisaaaa!
beyond tht mizigo ndani ya choo!
KIFUA!JAMANI!KIFUA!KIFUA!KIFUA!
Mungu katuma nundu hiz kifuani ana sababu zake basi tu hatujui!