Babeshi Mwamba
Senior Member
- Jan 7, 2013
- 196
- 39
hayo ya fb yaweke hapa, mbona hii ni platform toshasio kwamba nipo kimya nipo kuyafanya mambo Mengi kwa hiyo inakuwa muda mwungi najituma kwa ratiba yangu inakuwa imebana kutegemea na majukumu niliyonayo ninaahidi nitakuwa natoa mwendelezo wake zaidi pia nifollow fb natumia majina haya Salum Moshi Jr view Account yangu utaona ninachokifanya na Mengi zaidi nimejiwekea kila jambo kuliangalia kwa mtazamo tofauti kidogo kifursa zaidi.
Ebu kuwa muwazi unachotaka hasa ni nini?sio kwamba nipo kimya nipo kuyafanya mambo Mengi kwa hiyo inakuwa muda mwungi najituma kwa ratiba yangu inakuwa imebana kutegemea na majukumu niliyonayo ninaahidi nitakuwa natoa mwendelezo wake zaidi pia nifollow fb natumia majina haya Salum Moshi Jr view Account yangu utaona ninachokifanya na Mengi zaidi nimejiwekea kila jambo kuliangalia kwa mtazamo tofauti kidogo kifursa zaidi.