Vijana wenzangu wenye taaluma mbalimbali hambao wapo hawajapata kazi tukutane hapa

Babeshi Mwamba

Senior Member
Jan 7, 2013
196
38
Ni wazo kuu ni hivi kutegemea na soko la ajira kwa wenye taaluma mbalimbali limekua gumu napenda kuwaomba vijana wenzangu tuungane kwa pamoja kisheria tufanye jambo.

Kwanza nimeandaa mkakati mzima wa kufikia lengo kwa vile ninacholenga ni vijana wenye taaluma fulani ambao hawana kazi bado. Tutajiunga kisheria na tutafanya majukumu yetu kadri tunahitajiana.

Nawasilisha hayo niliyofikiri kwa ndugu zangu wenye changamoto ya ajira.Pia Tunapeana ushauri kwa aliyetayari pia mwisho nitatoa mawasiliano. Na itakua legal entity natumai nimeeleweka inbox hapana tuambiane hapa hapa. Pia natoa changamoto zangu huku nilipo sometimes network inasumbua kuna wakati mkiona kimya ndo hivyo.

Michango ni humu humu maana mainbox siku hizi utapeli mwingi.
 
Ambao hawajapata kazi au Ajira!?

ni wazo zuri kuanzisha huu uzi, niwape changamoto tu kwamba ukiona upo vizuri na fani yako using'ang'anie hapo ulipo tu sijui Dar au TZ, move out.....Go search for an opportunity in other places!

Dare to try nd take risk!
 
Weka hapa huo mkakati vinginevyo ni kupotezeana muda, mnakutana mnaongea mambo yasiyotekelezeka, anajitokeza mwingine yuko Nzega naye anadai yuko pamoja nanyinyi ambao muda huo mko Changanyikeni Dsm mkijadiliana mambo yasitokelezeka.

Kwa kawaida mtu ukihitimu chuo unakumbwa na wenge flani hivi, usipokua makini utahudhuria semina za ujasiriamali mpaka uchoke, yaani utanunua CD za ujasiriamali mpaka basi, mwisho wa siku unaishia kuwachangia wenzio tu
 
sio kwamba nipo kimya nipo kuyafanya mambo Mengi kwa hiyo inakuwa muda mwungi najituma kwa ratiba yangu inakuwa imebana kutegemea na majukumu niliyonayo ninaahidi nitakuwa natoa mwendelezo wake zaidi pia nifollow fb natumia majina haya Salum Moshi Jr view Account yangu utaona ninachokifanya na Mengi zaidi nimejiwekea kila jambo kuliangalia kwa mtazamo tofauti kidogo kifursa zaidi.
 
hayo ya fb yaweke hapa, mbona hii ni platform tosha
 
sio kwamba nipo kimya nipo kuyafanya mambo Mengi kwa hiyo inakuwa muda mwungi najituma kwa ratiba yangu inakuwa imebana kutegemea na majukumu niliyonayo ninaahidi nitakuwa natoa mwendelezo wake zaidi pia nifollow fb natumia majina haya Salum Moshi Jr view Account yangu utaona ninachokifanya na Mengi zaidi nimejiwekea kila jambo kuliangalia kwa mtazamo tofauti kidogo kifursa zaidi.
Ebu kuwa muwazi unachotaka hasa ni nini?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom