Katika utafiti niliofanya nimegundua vijana zaidi ya laki moja hawana ajira, naukitaka kuthibitisha hili angalia vijana walioitwa kwenye usaili wa uhamiaji ni zaidi ya elfu kumi. Na hapo wamefanya shortlisting. Je ni wangapi ambao hawajaitwa kwenye usaili. Je ni wangapi ambao hawakuomba hizi nafasi za uhamiaji kama mimi lakini hatuna ajira. Serikali inabidi iangalie ili tatizo, maana kufika 2017, tutakuwa wapi? Sidhani kama kuna binadamu anaweza kukubali kuishi maisha magumu na huku ana bachelor degree, kila leo hajui ale nini na alale wapi?
KAZI KWENU SERIKALI
KAZI KWENU SERIKALI