Vijana wengi wenye Degree hawana ajaira

Vijana wengi wenye Degree hawana ajaira

Hivi nyie mnaosoma na hayo Ma degree yenu yaani wakati mpo chuo akili yenu inafikiria nini hasa.
Wengi wanafikria kazi gani akiipata itakuwa na mainya ya kuiba,hilo bisha ila nio hali halisi.
Na ndio maana mtu akijiona ana degre mshahara wa laki tatu hataki kisa yeye msomi,sasa wewe kam msomi mbona mtaani mmejaa kibaoo haman issue kazi kupigana mizinga ya mia tano za nauli,maana hadi muhindi wa kuchoma mtu anapiga mzinga.

Fikra chanya ni kusoma kwa kujiajiri nyie mnakimbilia mjini wakati wenzenu wapo pale SUA wanatusua wanarudi kijijini ku make pesa chafu kwa kilimo.
Nenda mwenge Kuna dogo mmoja Konda ana BA pale.

Halafu nahisi wasomi mjifunze kitu,hao mnaowanona hawajasoma wana take advantage ya nyie kujiona mabwana,na ndio maana fursa wamezikalia,we unamdharau mama lishe au wale wanaotembea mahindi na machungwa njiani lakini hesabu yao wale basi ni zaidi ya mshahara wako kwenye post yako kwa mwezi labda uwe mwizi.

Aggressive presentation but there is a partial fact. I can sense it.
 
Back
Top Bottom