Vijana wasio taka kuoa

Vijana wasio taka kuoa

Vigezo vya kuoa ndio vigezo gani? Kujitosheleza kimaisha?:confused2:
Na huko kupekenyua pekenyua, is it exclusive to bachelors?
Asavali umejisemea kua ni wazo lako, so we won't argue😱hwell:

{1}umri {2}kuwa rijali {3} kuwa na akili timamu na kuweza kujikim kwa jambo lolote{kufanya kazi ili kijiingizia kipato...n.k
 
{1}umri {2}kuwa rijali {3} kuwa na akili timamu na kuweza kujikim kwa jambo lolote{kufanya kazi ili kijiingizia kipato...n.k
Hahahaha, Funny {having the right partner} is not in the list
 
aaaah jamani mi cjamsema m2...haya mawazo yangu 2
Ah, si ndio tunajadili sasa? Wewe umetoa vigezo vya kuoa (according to you)
Na mimi nimeshangaa kukosa "having the right partner" katika vigezo vyako
IMO, it is precisely because people don't take this as the num 1 sign of readiness
that they experience problems once in... #JustSaying
 
kwani vigezo vyangu avitoshelezi cio?
 
kwani vigezo vyangu avitoshelezi cio?
Ni vyako wewe. Kama unaona vinatosha, maana yake vinatosha
Kwani ni vigezo vyangu mimi? au ni universal vigezo ndio tuvijadili
I was just finding your vigezo funny and different from mine, basi.
 
Ni vyako wewe. Kama unaona vinatosha, maana yake vinatosha
Kwani ni vigezo vyangu mimi? au ni universal vigezo ndio tuvijadili
I was just finding your vigezo funny and different from mine, basi.

bac jamani usinune...1}nimependa unavyo nyambalisha maneno yko....lkn ndoa raha..!
 
Swala si vijana hawataki kuoa,tatizo siku hizi waolewaji hawapo mabinti wengi wamekuwa wakipenda maisha ya starehe,
 
Swala si vijana hawataki kuoa,tatizo siku hizi waolewaji hawapo mabinti wengi wamekuwa wakipenda maisha ya starehe,

nisaidie waku skul maana nikisema mie naonekana na langu moyon...ukweli uko wazi kwamba ------- yyte hajaruhusiwa kuoa...swala la mabintdigital inategemea na ww ulivyo...we wa 100 unataka mwanamke 1000 0..wapi na wapi? mtasumbuana 2
 
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!

Pole sana. Umetafuta mume majukwaa yoooote hola, sasa umetinga humu kwenye UTANI. Badili njia zako utaolewa tu
 
Hakuna vigezo vya pamoja vya kuoa kuna wengine wakipata kitanda wanaoa.
 
Hakuna vigezo vya pamoja vya kuoa kuna wengine wakipata kitanda wanaoa.

sasa kumbe.!! anae suburi magari na majumba ya kifahari ndio aoe...sawa aendelee kusubir..maisha c yanaandikwa kwa chaki..!!
 
mabinti wengi sawa..ila si wote..bado walio tayari kuolewa wapo weng pia
Swala si vijana hawataki kuoa,tatizo siku hizi waolewaji hawapo mabinti wengi wamekuwa wakipenda maisha ya starehe,
 
Back
Top Bottom