Vijana wasio taka kuoa

Vijana wasio taka kuoa

gharama inahitaji maandalizi pia...kwa kawaida m2 hulipia alicho2mia...c ndio jamani?

hamna lolote maandalizi kwani kuna mtu anajua mungu kampangia lini anapata mshiko?vijana wengi wanataka dezo mwisho wa siku wanaishia kwa wabibi wa kidhunguu babu!
 
na hilo ndio ttzo la watanzania...wengi ha2na malengo bali tunaishi kwa kubahatisha...huwezi kupanda mazao leo then uvune leo...haiwezekani
 
umeona eeeee!we kijana umri unaruhusu OA,kama mwanamke anakupenda mtaishi vizuri haijalishi,ndoa hata ya mkeka ni ndoa c lazima mwembwe bana!
 
haaa.!! Wanawake wa kidigital we thubu2,,,pesa mbele mapenzi nyuma mita 100
 
kijana anatakiwa atafute mwanamke anaempenda kwa dhati,anaetanguliza pesa huyo sio wife material kabisaaa!na wapo wengi tu wadada wanaojua kupenda bila kuangalia mfuko wa mtu
 
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!

Kwani kuoa lazima?
 
kiufupi ndoa inaongeza heshima ktk jamii...pia ni nusu ya dini..!

Ndoa inaongeza heshima?

Ndo maana ubazazi hauishi nchi hii.

Mtu bazazi akitaka heshima anaoa. Anaendelea na ubazazi wake. Anaheshimika kwa sababu kaoa.

Nerd anayejali kazi zake ambaye hana ya ajabu, hajaoa, haheshimiki.

Mpaka kwenye resume (C.V) unaulizwa Marital Status.

Medieval mediocrity.
 
Hapa kuna sababu nyingi lakini moja kubwa kwa sas ni akina dada wenyewe,wameweka pesa mbele zaidi kuliko mapenzi ya kweli. Hebu fikiri mtu unakutana naye leo mnaanzisha urafiki,baada ya ya masaa kadhaa utasikia simu haina vocha,mara da nimemis sana wig,nyama ya mbuzi halafu mafuta yangu yameisha,natamani losheni fulani na vitu vingine kibao.hapo kijana anajiuliza hivi huyu nikimwoa si nitafilisika siku mbili tu. Anaona bora apate mtu wa siku moja akimaliza haja zake anasepa. Lakini ni lazima kuwa makini mana ukimwi na magonjwa ya zinaa yatawamaliza.
 
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!

aaahhaa..uoe ili iweje? Mpango ni kuwa alone kitambo then uoaji later.
 
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!
Vigezo vya kuoa ndio vigezo gani? Kujitosheleza kimaisha?:confused2:
Na huko kupekenyua pekenyua, is it exclusive to bachelors?
Asavali umejisemea kua ni wazo lako, so we won't argue😱hwell:
 
Jambo jambo nyote...wazo langu ni hili kwa nini vjana wengi wa kitanzania hawataki kuoa? Ikiwa wana kila vigezo vyote...ikiwa ni pamoja na kujitosheleza kimaisha?...eeee najua nimewagusa wengi...acheni kupekenyua pekenyua.!

We jinsia gn?
 
Kiranga
Nimeona comments zako moja inasema Kwani kuoa ni lazima? na nyingine inasema Kwani kuolewa ni lazima? Kwani wewe ni ME au KE Mbona hueleweki unautetea upande wa waoaji au waolewaji?
 
nashangaa..hebu nisaidie
 
Back
Top Bottom