Vijana wanatapeliwa sana mitandaoni

Vijana wanatapeliwa sana mitandaoni

Hizi mishe binafsi nilicheza sana miaka ya 2007 na 2008 ila mm nilikuwa na waliza hao ma dada, nilisha piga kama laki 3 na 80 hivi kipindi hicho voda walikuwa na mtandao wa kijamii unaitwa the grid.
Na site moja inatwa queep hapa sasa ilikuwa ni sehemu ya vocha hahahaa hapa nilikuwa nazama fb na beba picha za dem kama tano nakuendelea naenda nazo queep huko ilikuwa ukitaka usikie sauti yangu unatuma namba ya simu na vocha baada ya hapo na ku block wewe kidume usikie sauti ya kudume mwenzio wapi na wapi.
So kwasasa hayupo demu wa kuni piga mzinga hivi hivi.
Tena wasasa hivi akikutandika nyundo akiona huelekei utaambulia matusi.
Nimekumbuka mbali sana aiseeeee

The grid ilinipatia mtu ambae maisha yangu sitakuja kumsahau,lakini sasa miaka 7 kanipotea,yaani wewe unaeishi hapo ILULA basi mpaka leo sijakusahau,mwenzio nina family sasa sijui wewe huko umzima lakini?
 
Ilikuaje mkaachana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom