Mkuu ni kweli unachozungumza!Wakuu kuna hii tabia nadhani wengi tunakutana nayo mitandaoni. Unamuona mdada jf aidha fb, insta au hata badoo.
Unatokea kumpenda unaanzisha conversation baada ya aidha ku like au ku comment post au picha yake. Kabla hujaanza mtongozano rasmi tayari unapigwa mzinga kwa kujipendekeza inbox.
Utaskia nina shida naomba unisaidie elfu30. Sasa unajiuliza hii shida imeanza baada ya kuchat naye au alikuwa nayo?
Na unaanzaje kumpiga mzinga mtu ambaye humjui bila aibu? Au ndo utapeli tu mtu alizwe biashara iishie hapo!!? Nimekuja hapa make hii kitu imenitokea mara kadhaa tena hawasubiri kukuche siku hiyo hiyo umejipendekeza utasikia puuuuuuuu mzinga tayari.
Binafsi nilishaapa sikupi hela kama sijawahi kukuona live hata kama utanitumia picha ya uchi sitoi hela make mingine unakuta midume inacheza na akili za watu.
Ninachojiuliza kwanini hii tabia imekuwa too much? Inamaana wanafanikiwa kuwakamata mabwege? Make ukiona machangudoa barabarani ujue maeneo hayo wateja wapo wa kutosha hivyohivyo ukiona mizinga mingi mitandaoni ujue wanaolizwa ni wengi kama wangekuwa hawafanikiwi wangeacha.
Kibaya zaidi hawatoi namba za ukweli utasikia simu yangu mbovu nakupa namba ya mdogo wangu unitumie hela humo. Mara line yangu haijasajiliwa nakupa ya rafiki yangu unitumie na wanaume wasio na hiyana wanatuma mpunga kumbe unalitumia tapeli au jianaume lenzako linaenda kugegedea.
Kuweni makini vijana mtalizwa sana
Enyi marafiki zangu wote mliopo PM na mimi. Naombeni 50,000 each of you! Huu sio utapeli..maana nimeweka hadharani.
Enyi marafiki zangu wote mliopo PM na mimi. Naombeni 50,000 each of you! Huu sio utapeli..maana nimeweka hadharani.
Wenyewe wanaijua...Weka namba ya simu
Njoo pm ukiwa umejipanga...namba utaikuta huko huko.Hahahahaaa, Ndo uweke na namba yako hadharani na sisi tusiokuwa marafiki zako PM tukutumie pia. Tatty na mimi pia nataka kuwa rafiki yako wa PM.
Njoo pm ukiwa umejipanga...namba utaikuta huko huko.
Wenyewe wanaijua...
Teh teh..hivyo hivyo na masharubu hakuna tatizoNa sura yako wanaijua usije kuwa lijamaa lenye masharubu nyuma ya keyboard
Wakuja acha apigwe achangamke hii bongo ubongo unapaswa uchemke kwelikweli
Hakujiua, alikuwa anaamini kuwa huyo mwanamke anania ya kwenda alipo yeye so jamaa anatuma nauli siku yasafari ikifika mtoto wakike utasikia kulinyesha mvua kubwa sana hivyo nimechelewa kwenda standa, mara nimepigiwa simu sijui flani anaumwa amekazwa yani hapa ninechanganyikiwa, aliponieleza nikamwambia tu ukweli huyo manzi anakuzingua. Tena manzi mwenyewe wa fb.Kwanini alijiua?
Ila wanaume na nyie mmezidi ukarimu wenuHakujiua, alikuwa anaamini kuwa huyo mwanamke anania ya kwenda alipo yeye so jamaa anatuma nauli siku yasafari ikifika mtoto wakike utasikia kulinyesha mvua kubwa sana hivyo nimechelewa kwenda standa, mara nimepigiwa simu sijui flani anaumwa amekazwa yani hapa ninechanganyikiwa, aliponieleza nikamwambia tu ukweli huyo manzi anakuzingua. Tena manzi mwenyewe wa fb.
Sio ukarimu ZIPU yambele ndio shidaaah, wengine zipu zao mbovu akiona mwanamke tu...Ila wanaume na nyie mmezidi ukarimu wenu
Ha haa ndiomana wakiwapatia wanawakamua...Sio ukarimu ZIPU yambele ndio shidaaah, wengine zipu zao mbovu akiona mwanamke tu...
Ha haaaWamelishika sawa sawa somo la ujasiriamali!!
Wameabiwa kwamba "vijana msitumie social networks kwa umbea pekee, bali tumieni kujipatia maendeleo".