Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Wakuu kuna hii tabia nadhani wengi tunakutana nayo mitandaoni. Unamuona mdada jf aidha fb, insta au hata badoo.
Unatokea kumpenda unaanzisha conversation baada ya aidha ku like au ku comment post au picha yake. Kabla hujaanza mtongozano rasmi tayari unapigwa mzinga kwa kujipendekeza inbox.
Utaskia nina shida naomba unisaidie elfu30. Sasa unajiuliza hii shida imeanza baada ya kuchat naye au alikuwa nayo?
Na unaanzaje kumpiga mzinga mtu ambaye humjui bila aibu? Au ndo utapeli tu mtu alizwe biashara iishie hapo!!? Nimekuja hapa make hii kitu imenitokea mara kadhaa tena hawasubiri kukuche siku hiyo hiyo umejipendekeza utasikia puuuuuuuu mzinga tayari.
Binafsi nilishaapa sikupi hela kama sijawahi kukuona live hata kama utanitumia picha ya uchi sitoi hela make mingine unakuta midume inacheza na akili za watu.
Ninachojiuliza kwanini hii tabia imekuwa too much? Inamaana wanafanikiwa kuwakamata mabwege? Make ukiona machangudoa barabarani ujue maeneo hayo wateja wapo wa kutosha hivyohivyo ukiona mizinga mingi mitandaoni ujue wanaolizwa ni wengi kama wangekuwa hawafanikiwi wangeacha.
Kibaya zaidi hawatoi namba za ukweli utasikia simu yangu mbovu nakupa namba ya mdogo wangu unitumie hela humo. Mara line yangu haijasajiliwa nakupa ya rafiki yangu unitumie na wanaume wasio na hiyana wanatuma mpunga kumbe unalitumia tapeli au jianaume lenzako linaenda kugegedea.
Kuweni makini vijana mtalizwa sana