Vijana wanaojua kuimba

Vijana wanaojua kuimba

raky

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
206
Reaction score
34
Wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda kwaya kwa ajili ya kumuimbia mungu kama huwa unapenda kumuimbia mungu madhabahuni kwake na hujapata nafac please nipm mungu akubariki sana, mnisamehe bure nimeweka huku coz mi sio member wa jukwaa la dini na iman asanten
 
Hata sie tunaojua kuimba Kaswida!!??
 
nyie ndo wazuri mnakutana kwanza na yesu afu tunaanza kumwimbia,nipm bac number yako

Poa, nitaku-pm.
Tunamwimbia Yesu then Muhammad (SAW)
 
0716638842.. Mpigie huyu jamaa, anaitwa Valentino, he is very talent atakupa baadhi ya kazi zake utamsikia.
 
0716638842.. Mpigie huyu jamaa, anaitwa Valentino, he is very talent atakupa baadhi ya kazi zake utamsikia.

asante ndugu yangu ngoja nitampigie pia ukipata wengine usisite kunijulisha, ubarikiwe sana
 
powa mkuu nitakutafuta nije nimwimbie mwamba wangu na tegemeo langu Yesu
 
wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda kwaya kwa ajili ya kumuimbia mungu kama huwa unapenda kumuimbia mungu madhabahuni kwake na hujapata nafac please nipm mungu akubariki sana, mnisamehe bure nimeweka huku coz mi sio member wa jukwaa la dini na iman asanten
mpigie huyu dada anakufaa 0657107073 hata mimi napenda kuimba ila sijui!
 
powa mkuu nitakutafuta nije nimwimbie mwamba wangu na tegemeo langu Yesu

hamna shida nitafte tu ndugu yangu tumwimbie ebeneza,elshadai eligibo,elohim, jehova shama,yehova yire. Ubarikiwe
 
Wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda kwaya kwa ajili ya kumuimbia mungu kama huwa unapenda kumuimbia mungu madhabahuni kwake na hujapata nafac please nipm mungu akubariki sana, mnisamehe bure nimeweka huku coz mi sio member wa jukwaa la dini na iman asanten

mwandikie pm Invisible umwambie akupe access ya dini. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom