Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi.
Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua.
Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed yanatokea Dar na maeneo mengine usiku huu.
Wanajeshi please msiruhusu unyama huu. Tusiruhusu vijana wetu wauawe hivyo.
Hata Mbeya kuna taarifa karibu na hizo.