Mwanakili90
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,568
- 245
Ukweli ni kwamba hii kauli inataka itumike na wana CCM ili waibe kura.
Wapenda haki msigeuze shingo,muwe makini na aina yoyote ya wizi unaotaka kuhalalishwa hapa igunga.
Hili linaonekana kuwa ndo kaulimbiu waliyopewa waandishi wa habari ili umma udanganyike kwamba CCM imeshashinda,sivyo!ukweli tunaujua na tunakomaa na aina zote za fitina
Ukweli ni kwamba hii kauli inataka itumike na wana CCM ili waibe kura.
Wapenda haki msigeuze shingo,muwe makini na aina yoyote ya wizi unaotaka kuhalalishwa hapa igunga.
Ndugu,hapo CCM wanacheza na saikolojia za watu. Its a planned strategy!. Aliye na record kwamba kila kituo vijana ni wangapi na wazee ni wangapi ni nani?. Afterall kwani mmeambia wazee wote pamoja na matatizo waliyonayo wataipigia ccm?. Wake up and know this psychological walfare!
Asalam Alleikum Warahman Tullah Twallah Wabarakat.
Nimshukuru Mnyazi Mungu Subhanahu Wataallah kwa kuniwezesha kutoka katika adhabu ambayo ama hakika sikuitegemea.
Kuhusu mada:
Hii kauli nimeisikia sana. Na kama kawaida, imeingizwa mpaka kwenye vyombo vya habari, na mfano mzuri nimemsikia kaka Yahaya Mohamed wa Star TV akikoleza kauli za Esther Bulaya kama vile kuna mtu kamwambia afanye hivyo.
Unless kuna mtu akathibitisha pasipo na shaka kwamba wazee na kina mama wa Igunga ni wapiga-kura wa CCM, this is rubbish propaganda, na tafadhali vyombo vya habari visitumike.
Hawa Star tv ndio wanatangaza sana hii kitu!