Vijana wamejitokeza kidogo njia mpya ya kutaka kuiba kura

Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,568
245
Ukweli ni kwamba hii kauli inataka itumike na wana CCM ili waibe kura.
Wapenda haki msigeuze shingo,muwe makini na aina yoyote ya wizi unaotaka kuhalalishwa hapa igunga.
 
Hili linaonekana kuwa ndo kaulimbiu waliyopewa waandishi wa habari ili umma udanganyike kwamba CCM imeshashinda,sivyo!ukweli tunaujua na tunakomaa na aina zote za fitina
 
hII NAYO NI MBINU YA KUDHOOFISHA UPINZANI, INABIDI UWEPO UAMSHO MKUBWA KWA VIJANA ILI WASIDANGANYIKE NA ULAGHAI HUO KWANI NCHI HII NI YA VIJANA SIO WAZEE, VIJANA WAKILALA AMA KUWA WAOGA BASI,.... HAKUNA MAENDELEO WALA DEMOKRASIA YA KWELI
 
Hili linaonekana kuwa ndo kaulimbiu waliyopewa waandishi wa habari ili umma udanganyike kwamba CCM imeshashinda,sivyo!ukweli tunaujua na tunakomaa na aina zote za fitina

Hapa paka kieleweke.
Mpaka wajue watu wamechoka na uozo!
 
Ndugu,hapo CCM wanacheza na saikolojia za watu. Its a planned strategy!. Aliye na record kwamba kila kituo vijana ni wangapi na wazee ni wangapi ni nani?. Afterall kwani mmeambia wazee wote pamoja na matatizo waliyonayo wataipigia ccm?. Wake up and know this psychological walfare!
 
Ukweli ni kwamba hii kauli inataka itumike na wana CCM ili waibe kura.
Wapenda haki msigeuze shingo,muwe makini na aina yoyote ya wizi unaotaka kuhalalishwa hapa igunga.

Asalam Alleikum Warahman Tullah Twallah Wabarakat.

Nimshukuru Mnyazi Mungu Subhanahu Wataallah kwa kuniwezesha kutoka katika adhabu ambayo ama hakika sikuitegemea.

Kuhusu mada:

Hii kauli nimeisikia sana. Na kama kawaida, imeingizwa mpaka kwenye vyombo vya habari, na mfano mzuri nimemsikia kaka Yahaya Mohamed wa Star TV akikoleza kauli za Esther Bulaya kama vile kuna mtu kamwambia afanye hivyo.

Unless kuna mtu akathibitisha pasipo na shaka kwamba wazee na kina mama wa Igunga ni wapiga-kura wa CCM, this is rubbish propaganda, na tafadhali vyombo vya habari visitumike.
 
Ndugu,hapo CCM wanacheza na saikolojia za watu. Its a planned strategy!. Aliye na record kwamba kila kituo vijana ni wangapi na wazee ni wangapi ni nani?. Afterall kwani mmeambia wazee wote pamoja na matatizo waliyonayo wataipigia ccm?. Wake up and know this psychological walfare!

Nia yao ni kudhulumu haki,
Mbona wanalazimisha kupendwa kiasi hiki?
Mbona hawalazimishi kufanya maendeleo kama wanavyojitakasa kwa mbinde kiasi hiki?
 
Asalam Alleikum Warahman Tullah Twallah Wabarakat.

Nimshukuru Mnyazi Mungu Subhanahu Wataallah kwa kuniwezesha kutoka katika adhabu ambayo ama hakika sikuitegemea.

Kuhusu mada:

Hii kauli nimeisikia sana. Na kama kawaida, imeingizwa mpaka kwenye vyombo vya habari, na mfano mzuri nimemsikia kaka Yahaya Mohamed wa Star TV akikoleza kauli za Esther Bulaya kama vile kuna mtu kamwambia afanye hivyo.

Unless kuna mtu akathibitisha pasipo na shaka kwamba wazee na kina mama wa Igunga ni wapiga-kura wa CCM, this is rubbish propaganda, na tafadhali vyombo vya habari visitumike.

Kwa startv kupigia mstari maneno ya esther mulaya sio jambo la kushangaza kwani inafahamika jinsi wanavyoripoti kishabiki na kuipendelea ccm.

Na inaonekana dhahiri hii slogan ya kwamba vijana hawajajitokeza kwa wingi kupiga kura kama wazee na akina mama wameianzisha ili kuhalalisha uchakachuaji wa kura unaofanywa na ccm.
 
shime kwa makamanda walio igunga na wanaofuatilia updates hapa wajipange waje na majibu ya kina ili tujue mbivu zetu,na si mbichi tunazotaka kulishwa kwa kauli mbiu ya kihuni.
 
Vijana ndio walimuangusha kigogo wa star tv kwa hiyo kituo hicho kinawaogopa vijana kama nini sijui.....
 
Ndugu,hapo CCM wanacheza na saikolojia za watu. Its a planned strategy!. Aliye na record kwamba kila kituo vijana ni wangapi na wazee ni wangapi ni nani?. Afterall kwani mmeambia wazee wote pamoja na matatizo waliyonayo wataipigia ccm?. Wake up and know this psychological walfare!

You are quite right, nani kasema wazee na kina mama ndio CCM?
 
Startv wanasema watu wameshindwa kujitokeza kupiga kura, wanasema kuna sehemu kituo kimejiandikisha watu 400 walipiga kura ni 150 tu
 
Asalam Alleikum Warahman Tullah Twallah Wabarakat.

Nimshukuru Mnyazi Mungu Subhanahu Wataallah kwa kuniwezesha kutoka katika adhabu ambayo ama hakika sikuitegemea.

Kuhusu mada:

Hii kauli nimeisikia sana. Na kama kawaida, imeingizwa mpaka kwenye vyombo vya habari, na mfano mzuri nimemsikia kaka Yahaya Mohamed wa Star TV akikoleza kauli za Esther Bulaya kama vile kuna mtu kamwambia afanye hivyo.

Unless kuna mtu akathibitisha pasipo na shaka kwamba wazee na kina mama wa Igunga ni wapiga-kura wa CCM, this is rubbish propaganda, na tafadhali vyombo vya habari visitumike.

Hata mimi nimeshangaa kusikia waandishi wa habari wamakomalia vijana hawajajitokeza kwa wingi, hii nayo ni mbinu mpya ya kuchakachua. Lakini cha ajabu nilimsikia Novatus Makunga naye anasema hivyo hivyo lakini kwenye mkanda wa chini kwenye TV yao kukawa na maneno yanasema "Misururu mirefu ya vijana wajitokeza kupiga kura" yaani nashindwa kuwaelewa hawa jamaa!

Hivi huyo Esther Malaya naye mbona anataka kusumbua watu sana huy?
 
Watapambana lakini hawatashinda milele, tutawakamata tu hawa wazee, siku zao zinahesabika. Lazima tuwachunguze hata wakiwa kwenye wodi za wazee hapo mbeleni ili liwe fundisho kwa vizazi vijavyo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom