Vijana wamejitokeza kidogo njia mpya ya kutaka kuiba kura

Kwa startv kupigia mstari maneno ya esther mulaya sio jambo la kushangaza kwani inafahamika jinsi wanavyoripoti kishabiki na kuipendelea ccm.

Na inaonekana dhahiri hii slogan ya kwamba vijana hawajajitokeza kwa wingi kupiga kura kama wazee na akina mama wameianzisha ili kuhalalisha uchakachuaji wa kura unaofanywa na ccm.

CCM hawataki kuacha usssshzzz wao. Hivi wanataka kumdanganya nani???
Kila Mwana-Igunga na Watanzania TUMESHUHUDIA kwenye mikutano kupitia TV na REDIO kuwa WALIOKUWA WANAHUDHURIA MIKUTANO HIYO WENGI NI VIJANA na siyo WAZEE! Sasa iweje leo siku ya kura eti VIJANA WAKAE NYUMBANI na WAZEE ndio wapige kura! This is bullshit!

Hapa lazima kuna mchezo unataka kuchezwa. Nina AMINI KUWA USIKU au GIZA litakapoanza kuingia MATOKEO YATAANZA KUBADILIKA KWA MAANA YA KURA NYINGI KUELEKEA CCM. Tunaomba MAWAKALA MUWE MACHO NA HESABU ZILIZOPATIKANA KWENYE VITUO VYENU MARA BAADA YA KUHESABU KURA. Kama wataLAZIMISHA KUWAPA hizo 20M waitieni PCCB msikubali kuuza UHURU na UTU wenu.
 
Back
Top Bottom