Vijana waliooa wanakwaza sana

"If you think money does not bring happiness, nenda kamuulize yule mtumishi wa Umma aliyenyimwa posho yake na muhasibu moyo wake ulivyo"


Hahahaah nimecheka hatari
 
Halafu ukisema hujaoa huwa unaoneaka so low sana

Yaani ukioa wao ndio unaonekana bab kubwa!! Aisee.

Hizi notion za ovyo ovyo achaneni nazo
 
Hahahaa kuna watu wanalia kwenye hizo ndoa zao
Mkuu, hali ni mbaya.

Ndio maana Mtume Paulo alishauri kama unaweza kuishi bila ndoa ni kheri usioe.

Wanakipata cha mtema kuni.
 
huko juu umeandika age ni 32 yrs kwa huo umri jamii nyingi za Tz zina mawazo hayo lazima uulizwe, especially watu wa middle class wanaonaga kuoa ni big of a deal

muhimu kuwa na watoto wako kuliko hiyo ndoa inayoweza kuvunjika anytime ...”Ndoa ni trap, eti sleeping with one person for the rest of your life” aisee ndoa ni biggest scam of them all, ila haina jinsi we will do it anyway ..sitaki kufa peke angu sad & lonely [emoji28]
 
Kuoa ni lazima, acheni kudanganyana.
Kwa maisha ya Sasa siyo lazima.Acha kukariri.Maisha yalisha badilika zamani Sana. Endelea kukariri.

Ndoa ina faida kwa mwanamke tu
Kwa mwanaume ni unyonyaji
 
Mimi nawaulizaga nioe kwasababu gani? Embu nipe sababu kwanini nioe?..🤣🤣🤣
 
NAKAZIA.
 
Kwa maisha ya Sasa siyo lazima.Acha kukariri.Maisha yalisha badilika zamani Sana. Endelea kukariri.

Ndoa ina faida kwa mwanamke tu
Kwa mwanaume ni unyonyaji
Acha kukwepa majukumu wewe.
 
unaoa lini bro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…