Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

Kuna utofauti, wenzetu mfumo wao haubadiliki sana,watoto huendeleza miradi ya familia
Ila kwetu juhudi binafsi na kufanya kazi kwa bidii ndizi zinazobadilosha maisha yako na jamii yako,
Kwa sasa hata kama familia ina shamba huwezi ukamkuta kijana wa 2000 anaenda kulima tena kwa jembe,
Vijana wamekubali kuendeshwa na dunia na lazima uwe mtumwa wa dunia
Shughuli ndogondogo hawataki,kazi za nguvu hawataki , sasa kwanini wasioleke na waume wenzao ama wanawake wenzao

Watoto wa kizazi hiki wanataka kuwa wasafi muda wote,wale vizur na maisha mazuri pasipo kazi
Hilo pia silipingi mkuu.unaendelea kunipa somo japo ninatambua.
 
Ila Sababu pia ni mfumo mzima kama Taifa Kuna mahali tulifeli lazima tukubaliane na huu ukweli maana hicho Kizazi hakikujilea chenyewe

I just believe wakati Watanzania tuna ipokea globalization hatukuwa Tumejiandaa kabisa kukabiliana na pressure ya mabadiliko yanayoweza kuletwa na utandawazi so watoto wengi wa Kizazi hiki wamelelewa na media Kwa kiasi kikubwa Huku wakipata malezi Bora Toka Kwa wazazi wao Kwa uchache

Hebu fikiria mwenyewe Sasa hivi jamii yetu media tulizo nazo Huwa zinapush Vipindi Gani vyenye kuwajenga watu wa Taifa lake ,

Media za nchi yetu kuanzia Asubuhi mpaka usiku Zina jadili mziki Mpira na umbea wa zuchu na diamond nandy na yammi Yaani muda wote na hizo media ndio hizo hizo zinazo sikilizwa na sana na hiki Kizazi chetu hapo Bado sijaongelea mitandao ya kijamii as TikTok insta na Post zinazo tumwa huko

Kuna namna serikali na jamii nzima Kwa ujumla ilishindwa kuidhibiti negativity activity zinazo letwa na globalization that's why we here
Uko sahihi,
Nilikua mpenzi wa kisikiliza radio sana ila kwa sasa angalau kidoogo radio free ,tbc nayo japo imejawana uchawa
SIjui nini kifanyike vijana wajifunze kujitegemea, wazo la kwenda jeshi kwa mujibu wa sheria lilikua ni wazo zuri sana ila si wote wanaopata fursa hiyo,huko ndio kidogo vijana wangejifunza vizuri japo wakikengeuka hawashikiki
 
Mkuu huko kwenyewe ni kama buza saiv.
 
M
Uko sahihi,
Nilikua mpenzi wa kisikiliza radio sana ila kwa sasa angalau kidoogo radio free ,tbc nayo japo imejawana uchawa
SIjui nini kifanyike vijana wajifunze kujitegemea, wazo la kwenda jeshi kwa mujibu wa sheria lilikua ni wazo zuri sana ila si wote wanaopata fursa hiyo,huko ndio kidogo vijana wangejifunza vizuri japo wakikengeuka hawashikiki
Mtihani sana

Laiti kama ningelikuwa Nina mamlaka ningelitaka Kila Raia wa nchi hii asome Vitabu vya utambuzi wa maarifa Kwa mwaka wa Lau vitabu vitatu tena ningeweka Sheria yaani lazima na sio hiyari ,
 
Necessity is the Motivation of everything...; Mkoloni kulikuwa na Common Enemy.., na watu walidhani / kujua kwamba baada ya Uhuru huenda kila mtu akapewa Ghorofa au pesa za bure (wakaja wakagundua kwamba Not yet Uhuru)....

Hapo katikati wachache ambao walidhani they can do better walipambana ili nao wapate kufanya mambo...; Sasa hivi watu wanaogombania kuingia na waliopo ni kama ni walewale na madogo hawaoni tofauti kubwa wanasiasa wamekuwa na sifa mbaya ya uongo ulafi na umimi (hivyo kila mtu anapigana ili ashinde mechi zake, hata madogo wanapambana ili nao waende wakaibe na sio kuwakomboa wengine...

Narudi nilipoanzia Neccessity ndio italeta mabadiliko na sio Bongo tu bali duniani kwa ujumla sababu sasa hivi hawa madogo waliopo nursey siku wakiwa wakubwa huenda wakawa hawana ujira wowote (sababu ya automation na nguvu kazi sio dili tena) na ukizingatia watakuwa wamesoma na kuona baadhi wamejilimbikizia mali za wizi watasema why US (kwanini tuwe watumwa nchini mwetu) hivyo chuki na vita vya Have and Have nots..., Kwahio tutegemee ya French Revolution.., Na hayo yangeshaanza sasa hivi kutokea kule Algeria na Egypt (ila walioongoza hayo mambo wakawa muslim brotherhood ambao waliku worse kuliko waliokuwepo) hivyo watu wakatulia kidogo ingawa njaa zikizidi watasema potelea pote..., ila narudia tena bila mabadiliko ya Amani tegemea mabadiliko na Machafuko yakayokuwa ya Hatari
 
Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche
Kwa Sasa kuwa mpinzani ni uhaini.
 
Wajameni, umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Watoto wa 2000 ni watoto kutoka viuno vyetu.

Sisi wa miaka ya 1900 sio bora kuliko wao wa 2000.

Sisi tulikuwa vijana kama wao na wao watakuwa wazee kama sisi.

Makosa na kutowajibika kwetu tusiwabebeshe mizigo wao.

Wao watusamehe kwa makosa yetu na kutowajibika kwetu.

Kulaumiana, kusemana, kusutana na kusontana vidole ni udhaifu mkubwa kwetu sote kwa kukwepa uwajibikaji
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Walipata uwanja na uhuru wa kusema kwa kuwa Nyerere hakuwa muuaji na mtesaji na msodoma. Leo utachagua kufa peke yako au usodomiwe na kuchukuliwa video. Uchafu na laana ya Taifa langu Tanganyika. Hata waliotaka kumpindua nchi hatimaye Nyerere waliachiwa akina Maganga, Hans Pope nk
 
Pia kumbuka wakati sasa hivi kuna madogo wanahangaika kuuza uji, kumwaga zege na kuendesha boda (kazi ambazo madogo wa juzi wasingefanya kama wamesoma) hawa wanafanya..., Pia wakati kuna madogo wengine wanashinda Studio kutoa Jingle za kututumbuiza ambazo sisi hatununui bado tunahangaika na piracy.., kuna madogo wa juzi wao walikuwa ni kurudia miziki ya Wakongo na wengine kina Ngapulila kuzamia meli ili waende Nga'mbo kutafuta maisha...

It's all relative lakini madogo wa leo wana mizigo vijwani kuliko enzi zetu sababu kesho yao ni ngumu na hakuna tena Security....
 
Kizazi cha 2000-2025 ni Kizazi kinacho hitaji maombi haswa, as sisi kama wazazi wao tuliwaacha wajilee wrnyewe sisi kama wazazi wao tulikua busy kutafuta pesa
Hicho ndio kizazi cha kwanza kutuonyesha effects za ufeminia na utandawazi. Kwa kweli hayo masuala mawili tukiyapokea wakati tukiwa bado hatujajiandaa kukabiliana na athari zake.

Kwa yanahoendelea kwenye jamii naona baada ya kizazi cha watoto wa 2000 kitakuja kizazi cha watoto wa single mothers. The worst is yet to come
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Vipi tabiri zako zinatekelezeka. au ndio tuhesabu maumivu tu.
 
Uko right!! But nadhan vijana wa buku mbili wanataka simple life yaan apate hela kirahisi bila maumiv au kuwajibika. Na ndii maan watawala inakua rahisi kwao kuwa win kwa vijisent vya hapa na pale!!! Hao ma crybaby hata humu wamejaa!!!
 
Zamani
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
 
Nakumbuka 2009-2012 wakati nasoma Udsm miaka yote mitatu ilikua ni migomo na harakati mwanzo mwisho hakuna kutulia... Nakumbuka hata tukienda field walikua wanatukataa wanasema sisi ni wakorofi... Na hata Chadema iliyotikisa 2010 asilimia kubwa ilikua ni vijana wa intake hiyo ya udsm....

Mwezi wa tatu nimepita pale Udsm pamepoa sana wanachuo wamepoa wamekaa kinyonge sana hata Revolution Square pameota nyasi, vichana wako cafeteria wanakula wengine wako kwenye vi-garden wame chill na mademu zao..
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Mbona umekata tamaa mapema hivi? Kwahiyo yale mambo ya "utabiri" Agosti, sijui Mgombea Urais mwingine CCM na sio huyu ndio yameisha ivo!? Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom