Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Hawa vijana wa leo ili wawe kama hao wa miaka hiyo wanatakiwa waanzie ndani ya CCM, Jeshini ( majeshi yote), walimu ili wawaambukize wanafunzi wao.

Unaweza kuwalaumu hawa wanafunzi wa "extended high school" kumbe wao wanaiga kwa walimu wao. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
 
Sio kweli mkuu, yule kijana Ali naniii picha ya nanii , amekamatwa ajulikani aliko, etc....

Ukweli CCM ina deni la kuja kuomba msamaha kwa Taifa , CCM imeuwa vijana wengi sana wanao pambania ukweli na uwazi
 
Ujinga na umasikini wa wananchi ndio silaha pekee ya CCM kubaki madarakani
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Hao wa zama za kale walifanya nini mkuu?
Maana mambo mengi ambayo yanapiganiwa sasa yalipitishwa enzi za vijana wa kale.
Hawa Kindergarten wameukuta mfumo wa kutukuza viongozi ulioanzishwa chini ya vijana wa 1960s-1990.

So vijana wa leo ni bora zaidi kuliko hao wazee mfano Bunge letu limejaa Wazee wa 1980s-1994 lakini nini kinatokea?

Machawa kwenye Taifa hili ni hao Wazee wa Kale.
Vijana kwa sasa wanapambana kutoka kwenye mfumo OGA wa Baba/Mama zao.
 
Nakumbuka 2009-2012 wakati nasoma Udsm miaka yote mitatu ilikua ni migomo na harakati mwanzo mwisho hakuna kutulia... Nakumbuka hata tukienda field walikua wanatukataa wanasema sisi ni wakorofi... Na hata Chadema iliyotikisa 2010 asilimia kubwa ilikua ni vijana wa intake hiyo ya udsm....

Mwezi wa tatu nimepita pale Udsm pamepoa sana wanachuo wamepoa wamekaa kinyonge sana hata Revolution Square pameota nyasi, vichana wako cafeteria wanakula wengine wako kwenye vi-garden wame chill na mademu zao..
Kila kitu na wakati wake achana na hayo tu ya kwenye Vyuo ambavyo hata Ulaya watu kama kina Trump wameanza kuwabana kina Havard kwamba wakiendelea kuachia watu wakaleta demonstration (mfano kuhusu Israel) watakatiwa funds, Hata vyama vya wafanyakazi sasa hivi vipo wapi ? (Thatcher na Regan waliviua) Sasa hivi Baba yako kauza Shamba la Babu yako ili akulipie uende kupata elimu hata ambayo haina faida kwako uende ugome ufukuzwe then what ? (Na unachogombania ni kwa ajili ya wengi / yako au unatumika kama ngazi ya wengine). Kwahio kilichobadilika ni wakati / nyakati / Struggle...

Lakini amini nakwambia Bomu litakalokuja na sio Bongo tu bali dunia kwa ujumla kama mifumo haitabadilika basi yatatokea ya French Revolution
 
Ile ya Raisi kuhutubia vyuo ilikuwa nzuri sana. Ilikuwa inawajenga sana vijana, raisi kuja chuo na kutoa hotuba kulikuwa kunawafanya vijana wahisi wanaweza kufanya lolote.

Leo hii wote tunaona kinachoendelea, vyuo vimekuwa kama A level za zamani.
 
Kiswahili ni lugha ya kifukara na duni sana na haina jagon za kitaalam hata kidogo
Hili bandiko si la mambo ya lugha lakini sikubaliani moja kwa moja na hoja yako. Lugha zote hukopa maneno toka kwenye lugha zingine.

Hivi maendeleo ya sayansi na teknolojia ya Japan na China yametokana na matumizi ya lugha ya kiingereza?

Hizo "Jargon" zilizomo kwenye lugha ya kiingereza zote asili yake ni uingereza ama na wao kuna mahali wamekopa?

Kamusi zote za lugha ya Kiingereza zimejaa maneno toka lugha zingine hata neno "Language" asili yake ni kilatini kwa neno "Lingua" linalomaanisha "ulimi" kama kiashiria cha kuongea.

Leo hii waingereza wanatumia neno "Vaccination" lakini Asilia ya neno Hilo ni neno la kilatini "Vacca" lenye maana ya Ng'ombe.

Kiswahili siyo lugha ya kifukara ila sisi watanzania hatujawekeza kwenye kukikuza ama kwa kufanya vumbuzi au kutumia vumbuzi za wengine kukuza misamiati ya lugha yetu.
 
Ile ya Raisi kuhutubia vyuo ilikuwa nzuri sana. Ilikuwa inawajenga sana vijana, raisi kuja chuo na kutoa hotuba kulikuwa kunawafanya vijana wahisi wanaweza kufanya lolote.

Leo hii wote tunaona kinachoendelea, vyuo vimekuwa kama A level za zamani.
Kwani hajipendi aende kuzomewa ? Pia zamani Rais alikuwa anaheshimika na kuonekana mtu wa maana sana yaani hata kuja kwenu ni privilege, leo hii muda wa mtu yupo busy unless unampa bahasha au pesa muda wa kwenda kusikiliza brah brah brah haupo..... ; Mambo yamebadilika na walioyabadilisha sio raia huku chini bali viongozi wamekuwa / onekana kama wachawi tu..., hivyo unless mtu anakwenda kunufaika na kitu hapo hapo ni kupoteza muda kuwasikiliza...

Pia hakuna fikra tofauti / mbadala bali ni platforms tu tofauti za watu kutumia wengine kama ngazi kwenda kula
 
Hivyo vipaumbele hakuna kipaumbele cha kufanya watoto wawe bora?
Ustawi wa watoto unaandaliwa na serikali, kwenye hii tunaita shule, media, madawa na vyakula..
Unaskia media zetu contents zao hazieleweki ni michezo, udaku, kamari kila kipindi..
Vyakula na madawa pia tuwe macho, watoto wanapewa machanjo, mifugo chanjo, je hizo chanjo wanazitumia huko zitokako? Au zinamwagwa huku km medical research?
Elimu yetu haisaidii kitu, inatakiwa shule za msingi zote ziwe vyuo vya ufundi.
Kwa miaka 6-7 mwanafunzi anatoka anajua ufundi vizuri sana kuliko anamaliza la saba ujuzi wake ni kusoma na kuandika
 
Kiswahili siyo lugha ya kifukara ila sisi watanzania hatujawekeza kwenye kukikuza ama kwa kufanya vumbuzi au kutumia vumbuzi za wengine kukuza misamiati ya lugha yetu.
Na ndiyo hoja yangu.. Lugha nyingine ulizosema ni lugha zinazotoka kwa watu waliostaarabika siku nyingi. Sasa sisi kwa mfano kuna vitabu vingapi vyenye maarifa viliandikwa kwa kiswahili? Tulichemsha mno kuamua kutumia kiswahili kwani ni kama tulifungia watu wetu kwenye kisiwa. Na mbaya zaidi elimu yetu ni ya kukariri tofauti na wengi wanaongozwa namna ya kujipatia maarifa.
 
Kiazazi ambacho kidogo kilikua na akili chakuanzia 1985 mpaka 1994 hapo angalau
 
Kizazi cha 2000+ ni kizazi kinataka mafanikio bila kutoa jasho, kizazi cha kulelewa lelewa, kizazi kinachopenda mambo mepesi mepesi, kisichohoji how and why kwa maisha yao.

Kijana anamaliza chuo (23) anakulilia wewe baba uliyemsomesha tangia primary umtafutie pa kushika, akiugua wewe, kula wewe, kuvaa wewe na kulala wewe mambo ya kudai HAKI anaona hayamuhusu, mambo ya siasa hata kusikia hataki.

Hii ni tatzo la kitaifa.
Mwijaku wa kiazazi ukitafari kwa kina unaona hamna cha kizazi wala nini?
 
Ila Sababu pia ni mfumo mzima kama Taifa Kuna mahali tulifeli lazima tukubaliane na huu ukweli maana hicho Kizazi hakikujilea chenyewe

I just believe wakati Watanzania tuna ipokea globalization hatukuwa Tumejiandaa kabisa kukabiliana na pressure ya mabadiliko yanayoweza kuletwa na utandawazi so watoto wengi wa Kizazi hiki wamelelewa na media Kwa kiasi kikubwa Huku wakipata malezi Bora Toka Kwa wazazi wao Kwa uchache

Hebu fikiria mwenyewe Sasa hivi jamii yetu media tulizo nazo Huwa zinapush Vipindi Gani vyenye kuwajenga watu wa Taifa lake ,

Media za nchi yetu kuanzia Asubuhi mpaka usiku Zina jadili mziki Mpira na umbea wa zuchu na diamond nandy na yammi Yaani muda wote na hizo media ndio hizo hizo zinazo sikilizwa na sana na hiki Kizazi chetu hapo Bado sijaongelea mitandao ya kijamii as TikTok insta na Post zinazo tumwa huko

Kuna namna serikali na jamii nzima Kwa ujumla ilishindwa kuidhibiti negativity activity zinazo letwa na globalization that's why we here
Serikali ukiwa mjinga ndo inafurahia unataka wazalishe watu kama Lissu serikali mkiwa mazuzu ndo inapata furaha iendelee kushika hatamu Angalia wakina mwijaku na baba levo ni taifa heti Uchawa shame mwanaume umeumbwa ule kwa jasho nikiona mwanaume anapenda Easy money nakua na wasi wasi na wanaume wake For example hata bungeni kuna Easy money tukiweza kumdhibiti Easy money tutaokoa kizazi na kizazi
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Zama za kutegemea pressure za vijana kuleta mabadiliko zimepitwa na wakati!!

Kitengo Cha intelligence kwenye taasisi za nchi wanafanya nini!!?

Kwani wanapokea mafunzo feki!!?

Mabadiliko yaanze idarani wanasiasa wafuate ka hawataki kufuata sniper ana was shoot TU,heshima itarudi!!

Lakini kama idara inafnya compromise na watawala ndio matokeo yake mnajificha kwenye mass popularity eti wafanye mabadiliko!!

Ifike mahali kila mtu atimize wajibu wake,tuache kulaumu vijana wa Sasa eti hawaandamani kudai mabadiliko wakati viongozi wanavunja katiba na katiba yenyewe haielekezi wafanywe nini!!!

Turudi kwenye misingi!
 
Muda una mambo yake

Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025

Vijana hao walithubutu yafuatayo
1. Walishnikiza tukapata uhuru
2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi
3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka Ulaya , kwa sasa kuna mtu Anaweza akagusa hata mwendokasi Kuiteka?
4. Vijana walikuwa na Hoja walimgomea Rais Nyerere na Mwinyi wazi wazi pamoja na Utata wa Nyerere
5. Vijana waliandika na kukosoa hasa mambo ya msingi

6. Vijana h Wengine walithubutu thubutu hata baada ya 2000 wakaendesha vipindi vya kuwabana viongozi KITIMOTO Pascal Mayalla pale Chanel 10 , muda huu hawapo vijana wa kufanya hayo labda Odemba kwa mbaaali naye anaogopa

7. Vijana walianzisha media na forums Kama hii ya Maxence Melo japo nayo ni baada ya 2000 , Ila JF ya moto kipindi kile si ya sasa maana hii kama inaogopa sana na machawa wameivamia hakuna kupumua, kuna over moderation ya taarifa wanazifuta mno! Jf ya 2010-2019 Siyo hiii Hakika

8. Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu

9. Vijana kipindi hicho Kama Ulimwengu, mwakyembe na Kabudi walikuwa wanaandika maandiko Mpaka watu wanadhani mwalimu anawaweka kizuizini, Ila yanaisha

10. Wanafunzi wa vyuo vikuu Rais Nyerere alikuwa anakuja kutuhutubia Mara kadhaa
Ila sasa hivi ni extended high school wala si wa mawazo ya ki chuo

11. Hata wapinzani wa nyuma unakuta Vyama vinne mfululizo vina watu kama Mrema, Mtikila, Marando, Lipumba (Japo baadae akakengeuka) Ila sasa tuna CHADEMA tu ndo Ina Lissu , Heche

Kupata mabadiliko naona tunataka kurejea sana zama hizo

Britanicca
Sawa kabisa mkuu,enzi hizoukisikia Udsmwako Nkurumah Hall,unaahirisha shughuli zako usikilize mondo,na ukiwasikiliza hakika unaamini tuna wasomi. Leo tuna mburula tupu. Leo unasikia Mwijaku ana Masters unabaki mdomo wazi. Ukimsikiliza unashangas yaani x 100 angalau la saba wa miaka hiyo.
 
Back
Top Bottom