Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

Kweli ,ila kwa kiasi gani?
Hakuna kizazi kisicho na watu wa maajabu kama zilivyo kaya nyingi ,lakini ukubwa wa tatizo ndipo tofauti ilipo
Lakini mkuu unalifahamu ya kuwa tatizo hili ni la dunia nzima kwa sasa.na sijui kama litakuja kutatulika.
 
Inaweza kuwa sababu
Sababu ni elimu. Narudia tena sababu ni elimu. Kinachoendelea Tanzania sasa hivi ni ukosefu wa elimu. Walipoamua tutumie kiswahili kama lugha ya kufundishia na kugeuza mitaala iliyoachwa na wakoloni tulianza kuharibu. Baadae tulipoanza kuzingatia elimu za kukariri ili kuweza kujibu maswali tukamalizia hata kile kidogo tulichokuwa nacho. Vijana wengi ambao wako under 30 sasa hivi wamesoma kwenye mfumo wa 1. Kiswahili 2. Kukariri. Hii ni combination mabaya sana kwa sababu watu wanamaliza vyuo bila maarifa kichwani. Leo nilikuwa nasikiliza aliyekuwa makamu wa rais Kenya bwana Gachagua akiulizwa maswali na diaspora wa USA... aisee nimeshtuka sana. Wako vizuri kweli kweli na wanauliza maswali ya msingi tena kwa kutumia english ya kisomi. Japo watu wanasoma english ni lugha tu lakini siyo kweli. Kswahili ni lugha ya kifukara na duni sana na haina jagon za kitaalam hata kidogo
 
Najivunia kuwa kizazi cha 2000 ndicho kizazi ambacho kitakuja kuleta mabadiliko makubwa nchini kwa baada e In Shaa Allaah japo tuna mapungufu yetu.

Kizazi cha nyuma kimezalisha vijana wengi wa hovyo na Mafisadi wengi na wamechangia kama nchi kufika hapa tulipo.

Hapa JF tu mna idadi ya vilaza na watu wa hovyo wengi mno wakiongozwa na Maghayo Busu la Kenge . Maarass!!!
 
Muda una mambo yake
Huwa najiuliza hawa watoto wa 2000s si wamezaliwa na wazazi wa 1970s-1980s ambao walinyooka kimaadili! Wanalaumiwa watoto badala ya wazazi wao!

Siku tukiacha kutupia lawama watu wengine hata kama makosa tulifanya sisi wenyewe tutakuwa tumejikwamua sana!

Namaanisha ukifanya kosa ama uzembe basi wajibika kwa huo uzembe na makosa yako mwenyewe na usitafute kisingizio chochote!

Mfano halisi ni huu: Wazazi wa 1970s-1980s ambao waliwazaa watoto wa 2000s wengi wao walishindwa jukumu mama la kimalezi kwa watoto wao.Baada ya kushindwa wanawatupia lawama watoto wao wenyewe!
 
Kizazi cha early 90s ndo mpango mzima. Nyie endeleeni tu kuwakatia mauno hadharani miarabu.
 
Kizazi cha 2000+ ni kizazi kinataka mafanikio bila kutoa jasho, kizazi cha kulelewa lelewa, kizazi kinachopenda mambo mepesi mepesi, kisichohoji how and why kwa maisha yao.

Kijana anamaliza chuo (23) anakulilia wewe baba uliyemsomesha tangia primary umtafutie pa kushika, akiugua wewe, kula wewe, kuvaa wewe na kulala wewe mambo ya kudai HAKI anaona hayamuhusu, mambo ya siasa hata kusikia hataki.

Hii ni tatzo la kitaifa.
 
Pia kizazi cha 2000 kuendelea ni kizazi chele maarifa ya shule tu,mbali na shule ziada ya ubongo imehifadhi mambo ya ajabu ajabu,
Ni watu wa hovyo,wazembe,wavivu na kila jambo baya sasa utaambiwa watoto wa 2000
Sijui kulea watoto wanaozaliwa nyakati hizi inakuwaje,wazazi kazi tunayo kubwa sana
Ila Sababu pia ni mfumo mzima kama Taifa Kuna mahali tulifeli lazima tukubaliane na huu ukweli maana hicho Kizazi hakikujilea chenyewe

I just believe wakati Watanzania tuna ipokea globalization hatukuwa Tumejiandaa kabisa kukabiliana na pressure ya mabadiliko yanayoweza kuletwa na utandawazi so watoto wengi wa Kizazi hiki wamelelewa na media Kwa kiasi kikubwa Huku wakipata malezi Bora Toka Kwa wazazi wao Kwa uchache

Hebu fikiria mwenyewe Sasa hivi jamii yetu media tulizo nazo Huwa zinapush Vipindi Gani vyenye kuwajenga watu wa Taifa lake ,

Media za nchi yetu kuanzia Asubuhi mpaka usiku Zina jadili mziki Mpira na umbea wa zuchu na diamond nandy na yammi Yaani muda wote na hizo media ndio hizo hizo zinazo sikilizwa na sana na hiki Kizazi chetu hapo Bado sijaongelea mitandao ya kijamii as TikTok insta na Post zinazo tumwa huko

Kuna namna serikali na jamii nzima Kwa ujumla ilishindwa kuidhibiti negativity activity zinazo letwa na globalization that's why we here
 
Ila zamani sijui ilikuwaje, yaani ka mtu kana miaka 30 kapo form 4 hata ndevu hamna.. dah! sijui walikuwa wanakula nini?
 
kizazi cha sasa wao wanajuwa kukata mauno tu+udaku

Ova

Huwa najiuliza hawa watoto wa 2000s si wamezaliwa na wazazi wa 1970s-1980s ambao walinyooka kimaadili! Wanalaumiwa watoto badala ya wazazi wao!

Siku tukiacha kutupia lawama watu wengine hata kama makosa tulifanya sisi wenyewe tutakuwa tumejikwamua sana!

Namaanisha ukifanya kosa ama uzembe basi wajibika kwa huo uzembe na makosa yako mwenyewe na usitafute kisingizio chochote!

Mfano halisi ni huu: Wazazi wa 1970s-1980s ambao waliwazaa watoto wa 2000s wengi wao walishindwa jukumu mama la kimalezi kwa watoto wao.Baada ya kushindwa wanawatupia lawama watoto wao wenyewe!
Hiyo ni kweli...imagine baba wa sasa hivi hana mpango wa kumuadhibu mtoto kisawasawa,mama yupo bize na tamthilia ,mimba za utotoni ukienda huko uswahilini ni kama baraka.wakati kuna wa kinasisi does not matter ikifika 17:30 haupo nyumbani urudi na vielelezo ya kushibisha na ni mtoto wa kiume.je manzi itakuwaje,mtoto anajibu lolote kutoka kwa mzazi,vyakula vya kuiga kutoka mashariki vimekuwa kama sifa,elimu ya sasa iko vizuri lakini wapo busy kutafuta sex sites kwenye social medias.LAKINI BINAFSI NINAHISI ZALAMA NI ZENU WAZAZI AMBAO NI GEN ZA BACK OF 90.MSILAUMU SANA WATOTO.the bible say huwezi kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako ikiwa wewe unacho jichoni mwako.
 
Wabunge waliweza ungana wakatengeneza G55 miaka ya 90! Kwa sasa wabunge wote ni mazuzu
Wabunge wengi wao ni wa 90 kurudi nyuma.. Hii hali inayotukuta sasa iliwatokea DRC miaka ya nyuma
 
Hawa wataingia tu barabarani siku wakijua adui wa vijana ni vijana wenyewe.

Angalia police vijana wanavyoua vijana wenzao na kuwateka

Nipo ndani ya jeshi kwa muda
Mrefu Sana intake za Magufuli na Samia ndani ya jeshi ndio problem hawana kabisa identity ya uzalendo hata punje wao ni pesa pesa mbele

JKT pia na Moshi Kuna shida kwenye kuandaa Hawa watu

No zao la kukosa elimu bora
Maisha yamegeuza vipaumbele kaka, kama wazazi ndio tumeandaa hiki kizazi, hakijatokea kwa siku moja
 
Lakini mkuu unalifahamu ya kuwa tatizo hili ni la dunia nzima kwa sasa.na sijui kama litakuja kutatulika.
Kuna utofauti, wenzetu mfumo wao haubadiliki sana,watoto huendeleza miradi ya familia
Ila kwetu juhudi binafsi na kufanya kazi kwa bidii ndizi zinazobadilosha maisha yako na jamii yako,
Kwa sasa hata kama familia ina shamba huwezi ukamkuta kijana wa 2000 anaenda kulima tena kwa jembe,
Vijana wamekubali kuendeshwa na dunia na lazima uwe mtumwa wa dunia
Shughuli ndogondogo hawataki,kazi za nguvu hawataki , sasa kwanini wasioleke na waume wenzao ama wanawake wenzao

Watoto wa kizazi hiki wanataka kuwa wasafi muda wote,wale vizur na maisha mazuri pasipo kazi
 
Back
Top Bottom