Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Kutoka kushoto:
Mjomba wake Bujibuji , babu yake masopakyindi , baba mdogo wa Ndikwega baada ya Huyo Cameron anafuata mshenga wa Gwamahala na wa mwisho ni jirani wa babu yake Gwangambo
FB_IMG_1498396982040.jpg

Hawa wote walikuwa wastaarabu sana!
 
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Kwenye majungu nakuunga mkono boy wangu niliye achana nae kpnd hichooo alikuwa mnyaqsa jmn wanapenda majungu yeye na ndugu zake ukiwakuta wanasengenya huwezi amini km ni wanaume
 
Af waarabu wengi ka wew ndo wanao amshiwa dude watoto wakiwa wamelala a.ka.kuputuka. jielewe wewe nguma ja nyoko
:D:Deti nguma ja nyoko hahahaaa nyie kaka zangu msinchekeshe aseeeeeeeeeee
 
Af waarabu wengi ka wew ndo wanao amshiwa dude watoto wakiwa wamelala a.ka.kuputuka. jielewe wewe nguma ja nyoko
Mkuu naona mimi kuwa mwarabu imekutouch, hii handsome boi udongo wa macca huu, kauze mchele tukuyu tu
 
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Balaa lipo kwa wanawake kutoka huko,
 
Mkuu naona mimi kuwa mwarabu imekutouch, hii handsome boi udongo wa macca huu, kauze mchele tukuyu tu
me ni mnyaki ORIGINALLY na najielewa sio ka wewe mwarabu koko unaetaka kujifananisha na hao machoko wenzio,gwaseme kumatanga
 
Back
Top Bottom