Vijana wa kusafisha kiwanja

Vijana wa kusafisha kiwanja

Habarini yeyote anaeweza kuniunganisha na vijana wawili wanisafishie eneo langu (site) lililopo mtoni kijichi tafadhali awasiliane na mimi pm. Nawahitaji siku ya j4

Sent using Jamii Forums mobile app

List:

- kanisani umewakosa.
- Jirani umekosa.
- unapofanyia kazi umekosa.
- jirani na uliponunua kiwanja umekosa.

Umekuja jamii forums....hakika tumejua una kiwanja tayari.
 
List:

- kanisani umewakosa.
- Jirani umekosa.
- unapofanyia kazi umekosa.
- jirani na uliponunua kiwanja umekosa.

Umekuja jamii forums....hakika tumejua una kiwanja tayari.
😂😂😂 LMAO KIMFAACHO MTU CHAKE NINA KIWANJA NATAKA JENGA, MATAJIRI WA KIHAYA HATUPENDI KUSUMBUKA
 
Back
Top Bottom