Nooo jiran wala cna shaka naww, ngoja nitoke kwanz kuna mdau ameshanilibia mood yangu kabisaaa
Mtaani,jf,IG,kanisani,msikitini,nkhivi huwa mnakutana wapi na hao wanaume omba omba?
Mpaka JF???Mtaani,jf,IG,kanisani,msikitini,nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahahaah!!!!
Next time nkitaka kumkopesha mwanamke yeyote yule ntamwambia mimi sina, ila ngoja ninae rafiki yangu anaitwa Atoto Nkuchkulie kwake. Akisumbua tu kulipa ntakuwa nakushtua. Kiufupi uwe yono investment wangu halafu unakata commission yako huko huko
mh....hao marioo mbona huwa wanaonekana hata kwa kuwatzama tuMtaani,jf,IG,kanisani,msikitini,nk
Sio mnafiki tu pia mjinga, limbukeni, pumbavu, boya, taahira, kahaba mpenda kuhongwa wakati anadai haki sawa, fala,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Deal.
Sasa hebu tuanze na mimi kwanza hako kamkopo.
Yes jf ina watu wa aina zoteMpaka JF???
Kwa uandishi huo hata usipate taabu kuhangaika na huyo mtoto. Hapo mwanamke anasingiziwa, anaepigwa nadhani ushamjua.
Sikuhizi Mario na wasio Mario wanafananamh....hao marioo mbona huwa wanaonekana hata kwa kuwatzama tu
Duh!Yes jf ina watu wa aina zote
Nitajitahidi nami nijidai tu partner. Usijali nitajidai na nitalipa vizuri kabisa maana hata sauti ya kulegeza sina[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You just said "deal"
Kwa hiyo wewe ni debts collector wangu sasa utajidaije hapo baadae???
Umewekewa mada, jadili mada. Hizo attacks zinaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
Au
e.
Sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu aikosi watu wenye tabia tofautitofauti,kuhusu kukutana kwani wewe huna rafiki humu?Duh!
Mimi sikuwahi kujua kumbe humu JF watu mnakutana
HahaahahahahaaaaahNitajitahidi nami nijidai tu partner. Usijali nitajidai na nitalipa vizuri kabisa maana hata sauti ya kulegeza sina[emoji23]
Kwenye mkusanyiko wa watu kuwepo na watu wenye tabia tofauti tofauti hapo sina mashaka napo, paliponishtua ni hapo kwenye kukutana hapo.Sehemu yoyote yenye mkusanyiko wa watu aikosi watu wenye tabia tofautitofauti,kuhusu kukutana kwani wewe huna rafiki humu?