Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 998
- Thread starter
-
- #41
Sikuhizi wanaume wamegeuka magumegume na wameukataa uanaume wao na asili yao Pia wanatamani mpaka waanze kwenda mp ili tufanane vizuri, mungu awasaidie tu
haya Sawa madameKwan mpaka nikupe pesa ndo unikojoze ww c umenipenda, kila mtu akae na pesa yke tusiombane.
Acha masihara mwanaume asili yake ni kutoa ukimkopa analipaMie naona bora pesa umkopeshe mwanamke kuliko mwanaume, wana shida sana kwenye kurejesha.
Wapo wengi humu, soma comment utawaonaUtafiti wako ume ufanya kwa watu wawili
Niko hapa mkuu Fanya hivyo basNjoo nikuhonge acha kulalamika mkuu
Sikuhizi wanaume wamegeuka magumegume na wameukataa uanaume wao na asili yao Pia wanatamani mpaka waanze kwenda mp ili tufanane vizuri, mungu awasaidie tu
Daaah yaaah unajisifia unahongwaaaaa, kwnn lakin nyie vijana mbona wanaume mnapotea kwa kasi sana tunabak na vijana wanao tupasua vichwaaaa
Nipe na Mimi number yake
hii imekaa kama inatoka kule republic of FacebookWakuu hbr za w,keend!
Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?
Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?
Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa
Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha
Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm
Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa
Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu
Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
Nipo naowaonga pia, ngoma drow
Mwanaume anayeombaomba anakera
hii imekaa kama inatoka kule republic of Facebook
Si hua mnadai haki sawa nyie sasa ummalia lia nini pumbavu mmeyataka wenyewe wacha wawachune.Wakuu hbr za w,keend!
Naomba tujadili hili swala naona linanitatiza sana kwann asilimia kubwa ya vijana wanapendwa kuhongwa pesa na wanawake?
Haya mambo miaka mitano nyuma hayajakuepo, siku hiz yaan ni waz waz jamaa ana mpiga kizinga mwanamke tena huyo jamaa ana kaz na bado anapenda, kupewa tatizo nn wakuu?
Nimepoteza marafik wawili kwasabu hii,
1) Mshkaji wangu Sana yaan ni best hakuna mambo ya mapenz wala nn tunaelewana sana, tunashauriana sna tumeshazoea tunakopeshan na kurudishiana sasa kama miez miwil iliyopita alitembelewa na demu ghafla, ni mwanachuo akanitafuta nimkopeshe pesa laki1 nikamwambia sina akaja mpaka kwangu kanililia weee mpaka nikavunja kibubu nikampa mm mwenyew hela ya kuunga nikamwambia hii pesa inakaz fulan naomba jitahid ukipokea mshahara unirudishie nikampa
Muda ukapita nikaona kimya anasema ntakupa bla bla kibao, jana nikamuibukia kazin kwake, akaanza mind hv vivi ww huwez kumpa mtu msaada mpaka umdai hivyo, nikamwambia No cjakupa msaada basi akaongea SNA mpaka akanikwaza nikaondoka kufika home nikamblock ndo nimempotezea hivyo sitak tabu nae nimemwacha
Huyu mwingine nirafik yangu nampenda sana namjua ana mambo mengi sana, alinitongozaga nyuma nikamkatalia bas tukawa marafik tu, sasa kila tukionana ana lalamika mala maisha magumu mala hajala sasa nikamzingua nikamwambia usipende kulia lia ww mwanaume tena unafanya kaz bank, nikamwambia shaur yko utakuja olewa akacheka eti vivi Nioe ww. Haaaaa nikashangaaa nikuoe mm kivp eti niwe kiben10 wako haki vile nimechekaaaa mpaka machoz yakanitoka na hapo namdai elfu30 yangu alikuja kukopa dukan kwangu hajalipa bas ananibembeleza niwe kiben10 wake alafu ni kijana yko smart na muajiriwa ana kaz nzur na namfaham tabia zake za kupenda videm
Yaan nimebak najiuliza mbona vijana siku hz hamna aibu, mm mwenyewe nataman mtu anihonge naww unataka nkuonge maisha gan hayaaa
Vijana shida nn, nawaza nifanyaje mbona nawapoteza watu muhimu ninao wapenda maana naona urafik wetu ushafika mwisho, japo nampenda swahibaangu
Ushaur plz, nifanyeje niepuke hayaaa
Una pesa weweeeeJumla bei gani unawadai niwalipie?
Sumahani madamu me Facebook niliacha kutumia 2008Kwan ww hutumii fb, asilimia kubwa humu tunatumia Facebook hata mm natumia, au ulikua unamaanisha nn cjakuelewaaa
Hili ni kweli lakini shida ni pale mdada anapoanza kulegeza sauti wakati wa kulipaMie naona bora pesa umkopeshe mwanamke kuliko mwanaume, wana shida sana kwenye kurejesha.