Vijana wa Dar wananiita mshua

Maana ya mshua ni nini wakuu?....kila angle ninayopita naitwa mshua, au ninaonekana njaa kali...
Mshua ni jamaa flani hivi age 50+ ,,anajipenda ,,manukato mazuri,ray band machoni,,. suruali jeans au kadet ,,shirt kali long au short sleeve plain haina mapicha picha ,, mkononi saa kali ,miguuni ana simple raba au simpe boot....

Kama huna sifa hizo wewe ni faza
 
ndio pigo zangu 😁😁😁😁
 
Ukiitwa Mshua ,Dingi ,Father ni neema ,maana kwasasa vijana wanadanja sana below 35 ,ukiingia Facebook daily unaona vijana wadogo wametangulia mbele za haki na age zao ni below 35.

Mshua ni Father Mwenye Pesa.

Father na Dingi - Ni Age go ambaye ana pesa ya kawaida ya kula.

Mbaba - Ni Father/Dingi mara nyingi huitwa na watoto wa kike/wanawake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…