Hii kali sasa ni vema lowasa ajitokeze hadharani kutamka anayaua makundi yote aliyo kuwa anayahudumia bila hivyo huku mtaani vijana wanajipanga kuimba nyimbo za kumsifu lowasa wakati magufuri atakapo kuwa anazunguka mikoani. Kama hao vijana waliimba tunaimani na lowasa .tunaimani na lowasa mbele ya mwenyekiti wao tena raisi wataogopa nini kuimba kwa mtu ambaye si mwenyekiti wao wala raisi wao.
Sasa Honolulu, nani mubadala Wa CCM !?Safari hii wananchi wakiirudisha tena CCM madarakani wajilaumu wenyewe. Sumu ya CCM bado ni ileile. Ni chupa tu inayoitwa "Magufuli" ndiyo imebadilishwa! Ufisadi na ufukara viko pale pale.
Lwaasa rais ajaye Mungu mubariki naafya yake ukawa tushinde.