Vijana wa CCM wajipanga kuzomea misafara ya kampeni ya Magufuli, Waandaa nyimbo za kumsifu Lowassa

Kazi ya polisi ni kushughulikia mtu ambaye anaenda kufanya fujo mkutano wa mtu mwingine AMBAO Haumhusu.Mkutano ukiwa wa Maghufuli mwachie maghufuli mkutano wakeBila shaka mnaelewa kilichompta dr.Kalokola alipoenda kufanya vurugu mkutano wa Lowassa.Wafuasi wa Lowassa hawakusubiri hata polisi wawashughulikie walishughulika naye na kumpiga ngwara pale pale.Vivyo hivyo mtu akienda kumzomea awe lipumba au Magufuli au Slaa kwenye mkutano wake lazima nguvu ya dola itumike kumshughulikia kikamilifu. USHAURI WA BURE KILA MTANZANIA AKAE MBALI NA MKUTANO USIOMHUSU YASIJE KUMPATA YASIYOMHUSU.Maghifuli hakuhusu kaa mbali naye mwache afanye mkutano wake bila presha
 
ligera

Kuichezea amani ni rahisi sana lakini kuirejesha ni vigumu kama ilivyo vigumu kupata snow ndani ya Dar. Kama mtu aamini akawaulize wasudan na warundi.
Amani ipi Mkuu, hivi unavyoona watanzania saizi wanaamani? Mpaka leo hujajua kuwa hakuna amani. Au wewe Ni miongoni mwa wasiojulikana hivyo unakuwa na amani muda wote.

Watu wanaopotea hujajua tuu, watu wasikohoe?

Amani imeshapotea aliyepoteza na kuichezea amani Yetu anafahamika Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom