Vijana wa CCM wajipanga kuzomea misafara ya kampeni ya Magufuli, Waandaa nyimbo za kumsifu Lowassa

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,648
1,167
Hii kali sasa ni vema Lowassa ajitokeze hadharani kutamka anayaua makundi yote aliyokuwa anayahudumia bila hivyo huku mtaani vijana wanajipanga kuimba nyimbo za kumsifu Lowassa wakati Magufuli atakapo kuwa anazunguka Mikoani.

Kama hao vijana waliimba tuna imani na Lowassa .Tuna imani na Lowassa mbele ya Mwenyekiti wao tena rais wataogopa nini kuimba kwa mtu ambaye si Mwenyekiti wao wala rais wao.
 
Hii kali sasa ni vema lowasa ajitokeze hadharani kutamka anayaua makundi yote aliyo kuwa anayahudumia bila hivyo huku mtaani vijana wanajipanga kuimba nyimbo za kumsifu lowasa wakati magufuri atakapo kuwa anazunguka mikoani. Kama hao vijana waliimba tunaimani na lowasa .tunaimani na lowasa mbele ya mwenyekiti wao tena raisi wataogopa nini kuimba kwa mtu ambaye si mwenyekiti wao wala raisi wao.

Wasipote kufanya fujo, kama hawamtaki Magufili waambie waje huku UKAWA.
 
Tunamtaka Lowasa Pombe hapana asije kwetu aende msoga awe raisi wa wakwele
 
Watanzania wanafahamu kuwa hiko ni kikundi kidogo cha wasakatonge...Magufuli alichanguliwa kutoka mbinguni
 
Magufuli hatumtaki mkurupukaji nchi yetu itapata hasara sana bora angekuwa waziri mkuu.Lowasa wetu wamrudishe.
 
Sasa hata wakizomea ndo watakuwa wanapiga kura??????hizo ni njama za kutaka kuonyesha mtu fulani ana nguvu sana kwa kikundi chake ila sio kwa wananchi dah hyo oct mbaaaali aisee!!
 
Tutamzomea mpaka akimbie huyu mgombea wa mfukoni.Magufuli hapana hapana wewe huwezi kuwa raisi unakurupuka sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom