Unafiki ni Kipaji.......niliandika jana , kuhusu njama zilizopangwa, tayari zinaendelea kuthibitiwa .......Kikao chenu jana kilirekodiwa , nilipoiona sura yako nikajisikia vibaya ........shame.....Chadema wanaivuruga amani ya gili taifa
Maandamano ni utashi wa wanakigoma, Zitto asishusishwe.
Unafiki ni Kipaji.......niliondoka jana , kuhusu
Tatizo si njaa tu,bali ni uzembe na tamaa ya kipato cha short cut,ndio maana anayewatuma alikataa posho ila akakubali RUSHWA.baaasi jamani! Mutawaua bure jamani,ni njaa ndiyo iliyowasukuma kufanya hivyo,umasikini,ujinga na njaa ndiyo mitaji muhimu kwa chama chetu ccm.
Maandamano ni utashi wa wanakigoma, Zitto asishusishwe.
umejuaje?
Nipo singida mkuu
Ushaona maandamano yanashawishiwa kwa kasi kubwa kama hii?
Hapana kama watu hawataki hawataki tu.
Watu wameamka
Naona badala ya kujibu hoja wanachedema wanamshika uchawi zitto eti kaandaa maandamano wakt ni utashi wa wanakigoma
mi nipo Kigoma mjini.
naona mambo ambayo sijawahi kuyaona.
Hoja gani za kujibu wewe? wanaoshawishi tunawaona huku?
tena asubuhi ya leo na jana jioni walikuwa wanatumia vipaza sauti kwa baadhi ya maeneo