Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Kama mtoto wa mkulima alivyosema wapigwe bas wapigwe kwan hamna namna nyingine
 
Unafiki ni Kipaji.......niliandika jana , kuhusu njama zilizopangwa, tayari zinaendelea kuthibitiwa .......Kikao chenu jana kilirekodiwa , nilipoiona sura yako nikajisikia vibaya ........shame.....

Kumbe ndo kazi maalumu iliyompeleka huko...?
 
baaasi jamani! Mutawaua bure jamani,ni njaa ndiyo iliyowasukuma kufanya hivyo,umasikini,ujinga na njaa ndiyo mitaji muhimu kwa chama chetu ccm.

Kama una ukweli Flani hivi, hebu tueleze zaidi!
 
niko tayari kuchangia fedha za kununulia vifaa vitakavyotumika kuwapigia hao wajinga , kama vile MIKIA YA TAA , BAKORA , GLOVES MAALUM ZA KUPIGIA MAKOFI na vingine vyovyote vitakavyohitajika ,
 
ANGALIZO - WAKIDAKWA WASIPELEKWE POLISI , washughulikiwe na umma , sijawahi kuliamini jeshi la polisi .
 
Habari kutoka kwa chanzo changu cha kuaminika kutoka kigoma zinasema vijana wanne wa CCM akiwamo yule alie fukuzwa chadema wame chezea kichapo kutoka kwa vijana wa ujiji wasio penda kununuliwa na ccm,inasemeka vijana hao wa ccm wanapita mitaani kuwanunua madereva wa boda boda ili wajitokeze kwenye maandamano ya kupinga ziara ya dr slaa.
NITAWALETEA HABARI ZAIDI.
Wapigwe.namimi nasema wapigwe tu.Tumechoka!
 
Picha ya Pg 3 nyongeza.JPG Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kwa kushirikiana na wananchi, wakimdhibiti mmoja wa vijana waliofanya fujo katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, uliofanyika katika kijiji cha Mabamba wilayani Kibondo mkoani Kigoma. (Picha na Joseph Senga)

chanzo
 
Mim mpita njia ila nasema,siasa ya vurugu inatoa taswira ya ujinga na upumbavu wa wahusika.
Let u all who are involve to stop
 
Back
Top Bottom