Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Hapa town ujiji mambo yako vululuvululu watu wanashawia waandamane kesho.

mi niseme tu amani ya wanakigoma ipo mikononi mwetu na siyo kwa Zitto, CCM, Dr. Slaa wala Chadema.

tusidanganywe

Amani haiwezi kutoweshwa,kama hao wanaomuunga mkono Zitto ni watu 11 kama mlivyotuambia basi hofu ya nini?si wanachama wa Chadema tu na polisi watawadhibiti?

Na kama wanaomuunga mkono Zitto ndio wengi,siungi mkono maandamano,hawana haja ya kuandamana bali waende mkutanoni wakatoe hasira zao hapo kwa amani,ndio nguvu ya umma hiyo ambayo Chadema wanaihubiri kila siku.
 
Hao waliokuja kigoma ndo chanzo cha hilo.

Ni kweli,kuwa kiongozi kunahitaji busara kubwa isiyoendeshwa na mihemuko.

Hakukuwa na ulazima wa Dr Slaa kufanya ziara sasa wakati bado kuna sintofahamu ndani ya Chadema Kigoma juu ya kinachoendelea ndani ya Chama,labda kama anatafuta sababu zingine za kumsingizia Zitto ili afukuzwe uanachama.
 
Kama upo kigoma waambie watanzania wa mikoa mingine ukweli na hali halisi juu ya vuguvugu la maandamano mjin kigoma maeneo yote ya ujiji,ilala,mwanga watu wana hamwe hamwe juu ya democrasia iliyozimwa kama mshumaa ndani ya chadema. Zingatia hali halisi na uripoti ukweli.

Mkuu mi ninachoona hapa ni kuwa wananchi wanakuwa wagumu sana kuamini hayo unayoyasema wewe hapo juu,
tena mi nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana wa bodaboda nijue wamekula ngapi ngapi, wengi hawajafikia muafaka! nimewasihi sana wasikubali kurubuniwa hata kidogo, na kama watapewa pesa wachukue afu hiyo kesho watulie tu.
 
Mkuu mi ninachoona hapa ni kuwa wananchi wanakuwa wagumu sana kuamini hayo unayoyasema wewe hapo juu..

Kwanini hawaamini?ni kipi wasichokiamini?inaonekana kuna vitu hutaki kutwambia..

Ebu weka fikra zako pembeni kwa muda,utupe za hao wanaKigoma ukiwa huru kabisa bila kubanwa na upenzi wala chuki.
 
kama kuwapa vijana pesa ili waandamane.
na hata kutumia vipaza sauti.

Wewe upo Tanzania gani ambayo hujawahi kuona vijana wakipewa pesa?upo Tanzania gani ambayo maandamano hayatangazwi kwa vipaza sauti?

Naona kuna kitu usichotaka kutwambia kinachokufanya uone ni ajabu..
 
"Vox populi vox dei"....... latino...... yaanii sauti ya uma sauti ya Mungu.
 
Mkuu mi ninachoona hapa ni kuwa wananchi wanakuwa wagumu sana kuamini hayo unayoyasema wewe hapo juu,
tena mi nilijaribu kuongea na baadhi ya vijana wa bodaboda nijue wamekula ngapi ngapi, wengi hawajafikia muafaka! nimewasihi sana wasikubali kurubuniwa hata kidogo, na kama watapewa pesa wachukue afu hiyo kesho watulie tu.

Mkuu wewe ni nan hapo kg, una nafasi katika chama?
 
Wewe upo Tanzania gani ambayo hujawahi kuona vijana wakipewa pesa?upo Tanzania gani ambayo maandamano hayatangazwi kwa vipaza sauti?

Naona kuna kitu usichotaka kutwambia kinachokufanya uone ni ajabu..

Ni ccm yangu, kufadhili huu mpango.

kigoma tuna amani, regardless tumezungukwa na nchi zenye machafuko ya mara kwa mara.
wanafanya jambo moja baya sana hawa watu
 
nami nasema WAPIGWE TU MAANA NIMEWACHOKA SASA
 
Tena wapigwe bara'bara

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom