Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Kama upo kigoma waambie watanzania wa mikoa mingine ukweli na hali halisi juu ya vuguvugu la maandamano mjin kigoma maeneo yote ya ujiji,ilala,mwanga watu wana hamwe hamwe juu ya democrasia iliyozimwa kama mshumaa ndani ya chadema. Zingatia hali halisi na uripoti ukweli.

Toka lini kufanya mapinduzi ikawa ndo demokrasia?
 
Back
Top Bottom