Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Vijana wa CCM wachezea kichapo Kigoma

Opera Min

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
890
Reaction score
659
Habari kutoka kwa chanzo changu cha kuaminika kutoka kigoma zinasema vijana wanne wa CCM akiwamo yule alie fukuzwa chadema wame chezea kichapo kutoka kwa vijana wa ujiji wasio penda kununuliwa na ccm,inasemeka vijana hao wa ccm wanapita mitaani kuwanunua madereva wa boda boda ili wajitokeze kwenye maandamano ya kupinga ziara ya dr slaa.
NITAWALETEA HABARI ZAIDI.
 
wao wapigwe tu wakatibiwe na hizo fedha walizopewa
 
Habari kutoka kwa chanzo changu cha kuaminika kutoka kigoma zinasema vijana wanne wa CCM akiwamo yule alie fukuzwa chadema wame chezea kichapo kutoka kwa vijana wa ujiji wasio penda kununuliwa na ccm,inasemeka vijana hao wa ccm wanapita mitaani kuwanunua madereva wa boda boda ili wajitokeze kwenye maandamano ya kupinga ziara ya dr slaa.
NITAWALETEA HABARI ZAIDI.

Wapigwe tu, tena nasema mtu anaetoa rushwa apigwe tu
 
Tumechoka sasa na mimi nasema kama hawataki wenzao wafanye mkutano NASEMA MNA HAKI YA KUWAPIGA NA WAPIGWE
 
Kama hawawezi kuishi bila rushwa nasema WAPIGWE TU
 
Na mimi nasema wapigwe tu, tumechoka sasa.
 
baaasi jamani! Mutawaua bure jamani,ni njaa ndiyo iliyowasukuma kufanya hivyo,umasikini,ujinga na njaa ndiyo mitaji muhimu kwa chama chetu ccm.
 
Hapa town ujiji mambo yako vululuvululu watu wanashawia waandamane kesho.

mi niseme tu amani ya wanakigoma ipo mikononi mwetu na siyo kwa Zitto, CCM, Dr. Slaa wala Chadema.

tusidanganywe
 
sijakuelewa

Ni hivi, hapa kigoma kuna mambo yanaendelea hapa haswa kuhusiana na ujio wa katibu wa chadema kesho.

sasa kuna watu wanapita kuwashawishi watu wengine waandamane kupinga ujio wake.
 
kama tutaendelea kukubali kuchezewa na ccm kama midoli,hakika tutakuwa tunatenda dhambi kubwa mno kwa watoto wetu na kizazi kipya kwa ujumla wake,hivyo hao wapigwe ili wengineo ambao wanatumika kama hao serhemu mbalimbali nchini naaao wapate fundisho.
 
Back
Top Bottom