Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi.

Fungueni macho
 
Screenshot_20250721-130549~2.png
 
Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi.

Fungueni macho
Umaskini ufanye kazi,sio kujikqlia tu.Leo matajiri wakubwa ni wachaga na wakinga,wanajituma,saa kumi za usiku wameshafungua biashara zao,na kufunga saa nne za usiku.na kuna maduka ya dawa saa 24,wewe mda wote ulala,halafu unalaumu kuna umaskini,jishughulishe,wacha kujilaza na kukaa kwa shemegi.
 
Back
Top Bottom