vijana wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CCM: Hazina Kubwa ya Vijana Viongozi

    CCM ina Hazina Kubwa ya Vijana wenye kariba ya uongozi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea kuonesha kuwa kina hazina kubwa ya vijana wenye kariba ya uongozi, uzalendo na uwezo wa kulitumikia taifa. Uteuzi huu ni uthibitisho kuwa CCM ni chama kinachowaamini vijana na kuwapa nafasi ya kushiriki...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna machawa na vijana wa CCM wameanza kumshambulia Msigwa. CHADEMA kataeni hayo maneno, Msigwa ni hazina

    Kijana ambaye ni Chawa wa CCM, Kijana anayekula kwa Pesa za CCM, huyu hawezi kukushauri lolote kuhusu PETER MSIGWA. Mbona hawakusema kuhusu SELASINI?. Kwann Msigwa kurejea CHADEMA imekua Nongwa??. Ukweli ni kua kuanzia Samia mpaka Mwenyekiti wa Kijiji chake wanajua PETER MSIGWA NI AKILI ZA...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa CCM hawana ushawishi na ni kama wameishiwa na vijana mahiri. Leo nawamegea siri kidogo

    Hamjambo! 1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto. 2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo. 3. Jambo hili linawapa KAZI zaidi viongozi wakuu wa chama hicho na serikali kwa ujumla kwa sababu...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa Vijana wa CCM Mwaka huu hawajamletea mtu yoyote vurugu

    CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii. Lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi. It is a new era...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote

    Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda mkono rushwa, upendeleo wa viongozi mambo mengi ya kuteka wananchi. Fungueni macho
  7. Diwani

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM msijilize. Hamna gharama mnazolipa huku mtaani

    Hivi karibuni kuna vijana (kwa akili zao timamu) wameaumua kuunga mkono Chama cha Mapinduzi. Wakiwa wanaonyesha support kwa Serikali na chama kwenye mitandao ya kijamii, wamepokea kejeri, matusi na lawama kwa vijana wengi sana; sasa jambo hili limewafanya wahisi vijana wao wanaona wajinga...
  8. S

    JamiiForums Tanzania John Mongela asema vichaa watafundishwa adabu na vijana wa CCM

    Wakuu Mongela wakati akizungumza kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan huko Simiyu amesema kuwa vichaa hawakosekani lakini watashughulikiwa na Vijana na Wana CCM. Sijui watashughulikiwa vipi, sad. === "Nataka kusema kwenye boma la watu wengi kama hivi kwenye kanda hii, hakuwezi kukosekana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Mlao: UVCCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi

    MNEC Mlao: Umoja wa vijana wa CCM ni tanuru la kuwoka vijana wenye sifa ya kuwa viongozi, twende kuwasemea vijana wenzetu wenye sifa ya kuwa viongozi kwenye vikao vya maamuzi
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Audiences Wake Walio Wengi Ni Vijana Wasio na Uelekeo wa Kimaisha na watu maskini na wasiojua kesho yao

    Katika siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na maswali mengi kuhusu hadhira yake na jinsi inavyoshughulikia masuala ya kijamii. Ni dhahiri kwamba vijana wengi, hasa wale wasio na uelekeo wa kimaisha, pamoja na makundi ya watu maskini, ndio wanaoonekana mara nyingi katika...
Back
Top Bottom